kumbe betting!!!!!!!!!!? anyway me nakumbuka it was 1995 nilikuwa std six ambapo TV zilianza tanzania,DTV walikuwa wakionyesha epl live,na mechi yangu ya kwanza ya epl kuangalia live iliwahusisha blackburn rovers na newcastle united... wapi les ferdinand,shaka hislop,faustino asprilla,david...