Recent content by cocastic

  1. cocastic

    JamiiForums Tanzania Gold Mafia: Huduma ya utakatishaji fedha – Uchunguzi Uliofanywa na Al Jazeera

    Ndiyo maana yake, ila kafa kifo kibaya sana yeye na familia yake.
  2. cocastic

    JamiiForums Tanzania Gold Mafia: Huduma ya utakatishaji fedha – Uchunguzi Uliofanywa na Al Jazeera

    Si linapenda rushwa na ufisadi hilo lizee, huoni kuambiwa waarabu wanataka ardhi heka 30,000 lenyewe haraka haraka limejibu waje chapu eneo hilo lipo. Duuuh 😂😂😂😂
  3. cocastic

    JamiiForums Tanzania Kama mkeo hataki kulea watoto wako ambao hajawazaa. Usimlazimishe ni haki yake. Tafuta Yaya umuajiri alee watoto wako.

    Wazinzi watakuja kukupopoa hapa, we subiri uone. 😂😂😂😂
  4. cocastic

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Kama kutakuwa na dereva ambaye hanisikizi, familia yake itamsahau

    Damu za raia wasio na hatia siku ya Oct 29, zimeanza kufanya kazi, wanajianika na kujisema wazi wazi, wasiojulikana sasa wanajijulisha wenyewe. Duuuh Karma.
  5. cocastic

    JamiiForums Tanzania SWIMMING POOL NA USALAMA WA WATOTO MAJUMBANI

    Kabisaa.
  6. cocastic

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke, na watoto wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Basi km ni ya kutengeneza, hilo sio suala langu
  7. cocastic

    JamiiForums Tanzania Colabo ya Joel Na Diamond aina afya kabisa kutokana na maadili ya Diamond

    😂😂😂
  8. cocastic

    JamiiForums Tanzania SWIMMING POOL NA USALAMA WA WATOTO MAJUMBANI

    Nimependa Pool covers,
  9. cocastic

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke, na watoto wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Ni maoni yangu, kuna sehemu nimesoma kuhusu Gold Mafia, jinsi biashara haramu ya dhahabu na utakatishaji pesa unaofanywa na Mnanangwa na hao mafia wengine. Kuna kampuni iko inaitwa hivyo Suzan, ko nimejaribu kuunga dots hapo.
  10. cocastic

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke, na watoto wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Sio coincidence ni mafia gang wenzio hao.
  11. cocastic

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke, na watoto wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Huyu Chivayo kauawa na mafia gang wenzie, huyo Susan mutami ni ni kiongozi wa mafia gang inaitwa hivyo Susan, inaonekana wametilifiana kwenye maslahi kwenye mgongo wa rais wao mnanangwa. Hatarii tupu.
Back
Top Bottom