Recent content by Coca.com

  1. Coca.com

    JamiiForums Tanzania Mimea 10 ya kiroho yenye nguvu chanya kimwili

    Mkuu vp kuhusu mimea maeneo ya kazi, ofisini/dukani
  2. Coca.com

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jana nimeacha rasmi kununua dada poa

    Bills, Xo, Hub hazikuwepo 2017
  3. Coca.com

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanandoa wanawezaje kuishi pamoja kwa muda mrefu?

    You're an introvert, n that is not ur fault!
  4. Coca.com

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    True or not, either way, but i love this. Masimulizi yako yamenikosha sana. Nimekumbuka simulizi ya Bwana Ibrahimu Chande na wakeze[emoji16][emoji16]. Kudoos[emoji123] N.B upatapo wasaa, chondechonde jihimu kutuandikia mwendelezo wa simulizi hizi
  5. Coca.com

    JamiiForums Tanzania Ninataka kuuza hisa zangu katika Kampuni ya TBL

    Kwanini iwe siri wakati taarifa ya gawio iko wazi mtandaoni? Dec 2020 TBL wametoa gawio la Tsh160 kwa hisa.
  6. Coca.com

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hakuna K'njaro ya Nairobi mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Coca.com

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Storytime: Usiuamini ushungi

    [emoji23][emoji23] Mkuu na wewe utakuwa wa pili kutoka mwisho kwenye ile Airbus! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Coca.com

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa ndo wanaume ninaowapenda humu JF

    Basi mama basii! Umemaliza kinywaji??? Eeh??? Waiter?.?? Waiter???? Ongeza hapa kinywaji haraka. Tuliza moyo wako mamaa, watoto wamekusikia.
  9. Coca.com

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dikoda ya AZAM yanitafutia bifu la wazi.

    We fala umenifanya nicheke mpaka demu wangu amejua nimemsamehe hapa kumbe bado nina hasira nae. Usirudie siku ingine mkuu. Ila kwa ushauri, hawa walinda amani huko waliko Mungu awasaidie lakini wewe usilaze damu. Kandamizaaaaa!!!
  10. Coca.com

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thubutu kutenda wema, kumbuka kwenda zako mkubwa!

    Mkuu, elimu ni jasho. Na ili upande elimu ya kweli sharti ufaulu ktk mitihani yako. Kama hana vigezo vya kufaulu basi na afelie mbali. Tutapunguza graduates ambao hawako qualified. Mkufunzi akaze kamba pale pale, kuwa its a fail. Big full stop. Hii itamsaidia huyo binti ajipange upya.
  11. Coca.com

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thubutu kutenda wema, kumbuka kwenda zako mkubwa!

    Sheria bila self acceptance ni uongo!
  12. Coca.com

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thubutu kutenda wema, kumbuka kwenda zako mkubwa!

    Hawatoupenda huu uzi kabisa![emoji853]
  13. Coca.com

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thubutu kutenda wema, kumbuka kwenda zako mkubwa!

    Dunia inakwenda kasi sana, utandawazi nao haukubaki nyuma. Kila mtu anatafuta mafanikio, na kwa tafasiri yetu mafanikio ni pesa! Ni sawa. Tafsiri upendavyo, mafanikio utayahusisha na pesa at some point! Lazima. Wengi wameuza utu wao juu ya mafanikio, Wengi wamekatiza masomo kutafuta pesa...
  14. Coca.com

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi huwa unaziamini zile story zinazosimuliwa redioni kwenye vipindi vya NJIA PANDA cha ( Clouds FM) na SITOSAHAU cha ( RFA)

    Sidhani! Labda zile nauli za kuja studio na chakula. Nchi yetu haijafika huko. Na chakushangaza utasikia kituo ndio kina haki 100%. Ngum sana kutoboa
  15. Coca.com

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi huwa unaziamini zile story zinazosimuliwa redioni kwenye vipindi vya NJIA PANDA cha ( Clouds FM) na SITOSAHAU cha ( RFA)

    Ni ngumu! Zote ziko chini ya haki miliki ya RFA. Labda wenyewe ndo waamue kupublish!
Back
Top Bottom