Ninataka kuuza hisa zangu katika Kampuni ya TBL

Arien

JF-Expert Member
Aug 29, 2017
11,152
2,000
Ningekuwa wewe nisingeziuza aisee ila kila la heri natumai ulifanikiwa
 

Flano

JF-Expert Member
Aug 7, 2019
880
1,000
Nilipata solution ya hela sehemu tofauti, ila leo wameniingizia gawio langu pesa nzuri tu nashukuru.
Samahani mkuu naomba kuuliza,
Gawio za hizo hisa 2000 ambazo rate yake imefikia 10,900 ni kiasi gani?
Na gawio hua mnapata kwa kila baada ya muda gani?
 

Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
10,350
2,000
Kwa wale wenye uzoefu, nina hisa zangu TBL sina uzoefu kwani uwekezaji huo ulifanywa na mzazi miaka hiyo kwaajili yangu.

Sasa nataka niuze hisa hizo je, utaratibu ukoje? Ni hatua gani natakiwa kuchukua ili nikamilishe zoezi hili?


Hisa za pombe??
 

wakuja town

JF-Expert Member
Oct 26, 2020
903
1,000
Kama hisa zinauzika siku 3-5, kama hisa haziuziki, basi waswahili husema Subira yavuta heri, hata miezi 3,6 uvumilie...

Everyday is Saturday............................... :cool:
Nina zangu za voda nilianza mchakato wa kuziuza 2018 mpk leo holaaa.
 

t blj

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,640
2,000
Kwanini iwe siri wakati taarifa ya gawio iko wazi mtandaoni? Dec 2020 TBL wametoa gawio la Tsh160 kwa hisa.
Ndo maana mtu mweusi kuendelea ni ngumu sana , imagine kitu kidogo Kama hiki anaona ni siri yake , huyu atakupa machimbo ya biashara china kweli ?
Kama ulivyosema taatifa ya gawio ipo wazi mtandaoni yet watu wanataka iwe siri . MI nadhani idadi ya share zake ndo alitakiwa aifanye siri , sio gawio
 

Mshiu Elias

Member
Aug 14, 2019
7
45
Kwa wale wenye uzoefu, nina hisa zangu TBL sina uzoefu kwani uwekezaji huo ulifanywa na mzazi miaka hiyo kwaajili yangu.

Sasa nataka niuze hisa hizo je, utaratibu ukoje? Ni hatua gani natakiwa kuchukua ili nikamilishe zoezi hili?
Naomba tuwasiliane kaka.. Ninamfahamu mtu atakaye nunua... 0765 670729
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom