Mkuu, si estate manager wala finance manager wala kiongozi yoyote wa UDOM anayehusika kwa namna yoyote kwenye hela za ujenzi wa hicho chuo. Majengo yote yanajengwa kwa hela za mifuko ya jamii (NSSF, PPF, etc) na wasimamizi wote wanatoka kwenye mashirika hayo, wakandarasi na washauri ujenzi wote...