Picha - Design ya apartment iliyotulia India, nakunwa kichwa

Kukurupuka is his middle name mbona! Na huwa nabakia mdomo wazi wakipata vitu vya kuahidi uchaguzi unaofuata! Guts best! It takes a lot to fool around!
DHAIFU alikurupuka, alisahau kuwa Serikali DHAIFU haina uwezo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kukurupuka is his middle name mbona! Na huwa nabakia mdomo wazi wakipata vitu vya kuahidi uchaguzi unaofuata! Guts best! It takes a lot to fool around!

Kukurupuka bin DHAIFU linampendeza sana hili Best..
 
Mimi ni Mhandisi wa umeme (Electrical Engineer),Ngoja niwape shule kidogo sio mnaropoka ropoka tu kama majuha;
1. Jengo hubuniwa na Msanifu majengo (Architect) kulingana na mahitaji, matakwa na uwezo wa mteja wake ili mradi sheria za miji zinaruhusu; jengo unaloliona hapo ni matokeo ya kazi ya Msanifu majengo ambaye hubuni na kuliweka katika taswira inayoeleweka wazi kwa mteja wake (3D view) kama linavyoonekana hapo juu

2. Baada ya jengo kubuniwa Mhandisi ndio anaanza kazi yake. Hapa kuna wahandisi wengi lakini muhimu sana ni Structural Engineer (nimeshindwa kiswahili chake). Huyu ndiye anayeweza kusema hili jengo linawezekana kujengeka au la. Kumbuka Architect anaweza kubuni umbo lolote analoona linampendeza lakini je linaweza kujengeka likafaa kwa matumizi au la hiyo ni kazi ya huyu Mhandisi.

Huyu ndiye atakayesema kulingana na umbo hili la jengo basi linatakiwa liwe na chuma au nondo au mchanga au saruji au kokoto gani, kiwango gani na kiasi gani katika kila sehemu ya jengo hilo ili kuliwezesha umbo hilo litokee na matumizi yanayokusudiwa yawezekane pamoja na kuhimili changamoto mbalimbali kama uzito, upepo, mafuriko na matetemeko.

3. Mjenzi (Contractor). Huyu ndie anayelijenga jengo. Huyu kazi yake yeye ni kujenga kila kitu kulingana na matakwa ya Engineer na Architect. Kama kaambiwa weka nondo sita za zaizi flani ataweka hivyo tu na si vinginevyo hadi jengo linaisha.

Baada ya kukupa shule hiyo nadhani utakua umehamishia kejeli kwa Architect. Tambua kwamba hakuna jengo liloshindikana kubuniwa na kujengeka Tanzania kwa wataalamu wa Kitanzania. Tatizo ni Mteja gani anayeweza kumudu ghalama ya kulijenga hilo jengo Tanzania? Au mnadhani wataalamu ndio wenye hela za kujengea kila aina ya jengo!

Nakumbuka kuna Mwalimu alipoambiwa umeme unaozalishwa Tanzania hautoshelezi mahitaji akadakia harakaharaka eti "sasa nynyi Wahandisi wa umeme kwa nini hamjengi mitambo ya kutosha"! Ikabidi nimuwahi kwa kumuuliza swali hilo yeye "sasa nyinyi walimu mnaona shule hazitoshi kwa nini hamjengi shule za kutosha"!

Tuache kudharauliana bila sababu.

Thanks ndugu umeeleweka sana kwangu
vilevile Kiswahili unachoandika ni kizuri sana kama kinavyotakiwa
 
Nimekupata Mkuu, tuache kudharauliana wakuu.
 
I can imagine serikali yetu inaamua kujenga kitu Kama hichi alafu kiwe pale mitaa ya tandika deviscorner mwanawanii!!
 
Mkubwa Coby naomba tuheshimiane humu ndani, mambo ya kuitana majuha Na watu tuna familia zetu tafadhal sana weka hisma next tym! Asante kwa kunisoma
 
now day nimepanua hii taluma, lazima na mkadiriaji majenzi(QUANTITY SURVEYOR) awepo ili aweze kutoa bei gani mteja atalipa.
 
Mwanangu hapo ni aina nyingine ya wabunifu hapa kwetu ni copy & pest 2 hakuna ubunifu akili yetu kama bidhaa za kichina
 
Mkubwa Coby naomba tuheshimiane humu ndani, mambo ya kuitana majuha Na watu tuna familia zetu tafadhal sana weka hisma next tym! Asante kwa kunisoma

Nimekusoma mkubwa Kwapa, ni jazba tu ya watu kudharau wataalamu wao wa ndani. Uchumi wetu ni mdogo sana kufikia point ya kujenga majengo kama haya.
 
Back
Top Bottom