Recent content by coach willy

  1. coach willy

    JamiiForums Tanzania Kama misingi ni kutochanyanga dini na siasa, ilikuwaje CCM ikampitisha Askofu Gwajima kule Kawe?

    Dah umetukumbusha mkono wa baunsa
  2. coach willy

    JamiiForums Tanzania Kama misingi ni kutochanyanga dini na siasa, ilikuwaje CCM ikampitisha Askofu Gwajima kule Kawe?

    Kama CCM Wanajua misingi ya nchi yetu Ni kutochanganya dini na Siasa ilikuaje wakampa Askofu tiketi ya kuingia Bungeni kupitia chama chao?
  3. coach willy

    JamiiForums Tanzania Masheikh wakiamua kuingiza siasa kila kipindi cha swala itakuwaje

    TEC Wamefanya vyema Sana kuwafafanulia waumini wao vitu ambavyo hawavielewi...hao masheikh nao wakawafafanulie waumini wao kwanini wanaunga mkono mkataba huo
  4. coach willy

    JamiiForums Tanzania Kuuzwa kwa bandari zetu: Ni nini msimamo wa Jakaya Mrisho Kikwete?

    Leo mzee wa msoga ametuhadaa kwa kusema baraza la maaskofu wanachanganya dini na siasa ila masheikh wanaounga mkono mkataba wa DP WORD hawachanganyi dini na siasa.... Yupo wapi JAKAYA MRISHO KIKWETE WA 1995??? Ujasiri wake wa kuchukua fomu ya urais kipindi hicho atuonyeshe na leo 2023 kwa...
  5. coach willy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye ujuzi na soko la vanila

    Niliacha shule form two...poor me
  6. coach willy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye ujuzi na soko la vanila

    Nina kg 30
  7. coach willy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye ujuzi na soko la vanila

    Mwenye access na soko la vanila anielekeze.
  8. coach willy

    JamiiForums Tanzania Kama unajitafuta, nenda kaishi wilaya ya Mbarali

    Ardhi bei yake ikoje
  9. coach willy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga mtu mbaya, Kafanya Ruto Achakae

    Na kwa ufupi tu Raila odinga yupo kwenye politics since miaka ya 80 na ana influence kubwa sana pale kenya.ni genious wa siasa pale kenya.samoei haezi Vita yake
  10. coach willy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga mtu mbaya, Kafanya Ruto Achakae

    WSR Ana blood laukemia long time ago ndo maana uhunyee alimsaliti akijua hatoboi akatamani RAO ndio akue presdaa lakin ndio hivyo mzee wa bottom up economy Mr WSR na mkewe bibie RACHEL mungu bado anampigania hiyo blood laukemia wanaiona kama mafua
  11. coach willy

    JamiiForums Tanzania Kigogo NMB Kortini kwa Kulawiti mwanafunzi, alimchukua amsomeshe akawa anamwonesha video za ngono

    Afande rama kashinda tu kesi kwa sababu mashahidi waliokua wanatoa ushahidi sio wale walokua wanamlawiti pia yeye ndo alikua mlawitiwa kwhy ilikua ngumu jamuhuri kushinda ile kesi
  12. coach willy

    JamiiForums Tanzania Kigogo NMB Kortini kwa Kulawiti mwanafunzi, alimchukua amsomeshe akawa anamwonesha video za ngono

    May be ila anaweza kushinda kesi kama afande rama wa zanzibar
  13. coach willy

    JamiiForums Tanzania Afisa wa benki ya NMB Arusha anaedaiwa kulawiti Yatima afikishwa mahakamani

    Iko hivyo naamini Kuna historia ndefu kabla ulawiti haujaanza.hapa tumepewa tu kwa ufupi
  14. coach willy

    JamiiForums Tanzania Afisa wa benki ya NMB Arusha anaedaiwa kulawiti Yatima afikishwa mahakamani

    Kama tu mtu ameshindwa kuelewa uzi mfupi na wa kiswahili ataelewa ishu ya mkataba wa bandari kweli...naona kakurupuka kukoment
  15. coach willy

    JamiiForums Tanzania Swala anayetambulishwa Wasafi ni nani hasa?

    Kwenu
Back
Top Bottom