Wakuu kwa yeyote ambae either kashawahi kuwa wakala wa NMB yaani anamiliki POS yao, na kwasababu yeyote ile aliacha biashara au anataka kuachana na hiyo biashara mimi shida yangu ni hiyo mashine.
Kama tunaeeza kufanya biashara (aniuzie) then twende branch tubadilishe details niitumie, nipo...