Recent content by clopp

  1. C

    JamiiForums Tanzania Sishauri Forker 50 na Forker 28 ziwe 'Branded' kama Ndege za Kibiashara za ATCL

    Acha na sisi tuzipande angalau mpaka Dodoma tu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ukiishi maeneo haya jijini Dar huwezi kufanikiwa hata kidogo

    Mawazao mgando hayo, wewe unaishi wapi na umefanikiwa wakuliko watu wanao ishi maeneo hayo uliyaorodhesha? Labda nikujulishe tu kuwa kufanikiwa ni juhudi ya kazi yako .
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Housegirl anafaa sana ila sitaki aendelee kufanya kazi hapa home. Mke wangu ni tufani

    Mpandishe cheo housegirl
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

    Mbona wengi sana ,mtoa mada hebu tujuze hilo kongamano bado linaendelea au vipi ili niende kupiga jicho maana kama nimeanza kuvutiwa na yule pale alie suka wa katikati kabisa
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kurithi au kuchukua nafasi aliyokuwa anaishikilia baba au mama yako ni laana kubwa

    Sio kweli, mbona kama unajazba vipi ndio umeamka au?
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wa mtu ameniacha sijui kwa sababu nafanya kazi mazingira hatarishi!

    Mchepuko sio dili
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanangu wa kike wa chekechea kaniuliza "tutakaa kwenye nyumba ya kupanga hadi lini"?

    Mwanao kakupa live anataka ujenge nyumba, naye ajivunie nyumba ya babake
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Niko njia panda binti kaniambia kazaliwa na HIV na nimemgonga peku peku

    Baada ya miezi 3fika angaza kapime
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mashambulizi kwa Dk. Malasusa ni mbinu za wanasiasa kuibomoa KKKT?

    KKKT itaendelea kuwapo tu bila malasusa
  10. C

    JamiiForums Tanzania Aambiwa na Pasta avue nguo ya ndani aombewe ili apate mchumba

    Ningenda kwanza kujua hilo tukio limefanyika wap kabla sijatoa mtizamo wangu.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenye Wachezaji hawa wafuatao wa Yanga SC waonyeni wasikubali kubebeshwa ' Hirizi ' mtawakosa

    Mpira utachezwa uwanjani, wewe unabaki kuhangaika au ndio timu yako itapigwa 7 umeanza kuweweseka, subir dk90 zitaamua tu
  12. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hela ya unga, nakufa njaa

    Vocha umepata wap, ungenunua unga kwanza
  13. C

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu mabaya sana nakaribia kujiua

    Iliyoandikwa hapo na mtoa mada naona kama sio laki mbili ni zaidi ya laki Mbili. Au nivae miwan
  14. C

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop acer inauzwa laki 430

    Ni vyema sana ungeweka bei, ili kila moja ajue na kama atakuja pm, basi atakuwa na uhakika na bajeti yake.
  15. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitasahau nilivyomkomesha FATAKI wa mtaani kwetu!

    Basi fanya ungwana kamrudishie pesa zake
Back
Top Bottom