Hata mimi zamani niliwahi kuwaza jambo hilo, yaani mwalimu anafundisha leo what is geography, mwakani tena anaanza palepale what is geography, mwaka mwingine anaanza tena what is geography hachoki?
Ila baadae mawazo hayo yaliisha pale ambapo na mimi kwenye kazi kazi zangu mfumo ni ule ule...
Matoto ya ccm lazima muwe na matusi ndo mambo yaende! Zanzibar maendeleo yanaletwa na samuya kwa pesa za watanganyika, we endelea kusifia ujinga wakati ukweli unaujua.
Mzeebaba, kuna kitu naomba unieleweshe...."mchezaji wa soka la kulipwa" hiyo huwa inamaana gani? Kwani kuna wengine wanacheza soka ambalo sio la kulipwa?
Kuna kitu ambacho huelewi hapo mkuu,
Maana ya Yesu kufa kwa ajili ya dhambi zetu ni hii;
Yesu alikuja duniani kutufundisha kuachana na dhambi, sasa kazi yake hii iliwafanya wasiomtaka kumsulubu na kumuua. Kwa hiyo kilichomfanya kufa ni ile kazi ya kutuondoa dhambini. Kilichosababisha kifo chake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.