For Heaven's sake, please stop this madness. Jamani vitu kama hivi ndiyo vinaleta uharibifu wa amani. Siyo wakristu wengi ni wema na kadhalika siyo waislamu wote ni wema.
Wako mapadre, maaskofu, wachungaji na wainjilisti ambao wanafanya uhalifu na wengine hata mauaji. Hii haina maana kuwa...