Ofisi ya Afisa Utumishi Wilaya ya Kisarawe kuna Afisa utumishi anatoa huduma ya uafisa utumishi wake kwa malipo iwe unaomba akupitishie maombi ya mkopo, iwe unataka ufanyiwe recategoristion kwa yeye kuupload doc zako kwenye mfumo kama vyeti ni malipo, iwe ni mkopo wa hazina unaotolewa kwa...
Naomba msaada nimetumia dawa na hospitali zote kupata suluhu ya harufu mbaya ya kinywa. Naswaki vizuri ulimi, meno na kwa dawa mpaka za 50k.
Nimetumia karafuu, tangawizi na aina nyingine za madawa ya dukani na asili ila changamoto ipo pale pale nikiongea na mtu anakimbilia kushika pua na...
Naomba kujulishwa kwa anaefahamu chuo kinachotoa diploma za clinical medicine na pharmacy kipo kigamboni anijulishe na bado kinapokea wanafunzi!
Asante
Nina ndgu yangu kamaliza form six kapata div point 13 kafanya application mara mbili awamu zote katka vyuo vyote jina lake halijatoka. This tym kafanya application only katika chuo kimoja kwa mara katka vle vyuo alivoomba! Msaada tafadhali cha kufanya sababu dalili zinakaa ni asilimia chache...
Akili zako za o level bado unaandka X to mean S!sijakwambia nasoma masters nmekuonesha tuu sio kwamba kila anaenda shule ni katoka form six na anakwenda kusoma degree!Kumbe hzo nlizotaja hapo juu ni specification za brain yako!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.