Nahitaji laptop

Nahitaji laptop

Nenda Maisha Computers ipo Posta mpya ya Kisutu karibu na CBE piga 0715404040 unaweza pia kuingia FB ukaangalia bidhaa zao kwa jina la Maisha computers usinunue vitu vya mikononi vitakucost!
Aseee thank you so much!
 
Akili zako za o level bado unaandka X to mean S!sijakwambia nasoma masters nmekuonesha tuu sio kwamba kila anaenda shule ni katoka form six na anakwenda kusoma degree!Kumbe hzo nlizotaja hapo juu ni specification za brain yako!
Unaongozwa na mihemko..soma post zako vizur utajua kuwa unajua usichokijua (fool)
 
Mkuu, acha malumbano mnapoteza focus ya uzi. Mie sion issue hapo. Chek HP ile nimekulink mashine kali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom