Recent content by clemb007

  1. C

    Nivunje vipi haya mahusiano?

    ....... Huu ndiwo ushauri uliotakiwa kutolewa na sio huo ujinga walioutoa wengine!
  2. C

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Where there is a there is a way A woman is a satisfactory form of relaxation provided that you don't let her hook into you Money is not everything Let your faith be bigger than your fear Don't count the eggs before they are hatched If you avoid the possibility of failure, you eliminate the...
  3. C

    Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

    Tatizo ni kuwa CHADEMA ni mali ya watu fulani, sio umma. Hivi unafikiri akiondoka Mbowe kitabaki nini? Utakuwa ndiwo mwisho wa chama. CDM ni kama Pertinership business au unlimited company!
  4. C

    Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

    By the way, CHADEMA huwa wanapiga kelele sana kuwa nchi haina democrasia, hivi can you compare CHADEMA with CCM on democracy? There is no democracy in CHADEMA! Chama kinaongozwa na mwenyekiti yule yule miaka nenda miaka rudi, wengine wakijaribu wanawekewa zengwe! Chama gani hicho!
  5. C

    Dodoma: RPC Muroto azuia maandamano ya Amani ya vijana wa ACT na vyama vingine vya Upinzani. Asema atakayeandamana atapigwa hadi achakae!

    Tafadhari vijana msijaribu kuandamana. Serikari ya awamu hii si ya kujaribiwa. Tunawapenda sana. huwezi kushinda na serikali. Tusubiri tu, tuone mwisho wa hii sarakasi
  6. C

    Finally Huawei E303 unlocked

    By the way. Hivi hizi software wanazotumia mafundi ku-flashia simu zinaitwaje. na zinapatikanajee? I hope wanapata mitandaoni. who knows please.
Back
Top Bottom