Habarin za leo wanajukwaa.
Najitokeza hapa nikiwa na nia ya dhati kabisa ya kutafuta mchumba, ambaye tutakua nae kwenye mahusiano na hatimae kuoana na kutengeneza familia yetu.
Nina umri wa miaka 26, naish Dar, elimu yangu ni Degree moja, nimuajiliwa serikalini. Natafuta mchumba wa kike mwenye...