Recent content by classic guy

  1. classic guy

    Unapaswa kumshukuru sana Mungu

    si amekupa akili,pambana tu hamna namna best
  2. classic guy

    Unapaswa kumshukuru sana Mungu

    GOD is GOOD my friend
  3. classic guy

    Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

    soldier wangu vp, inakuaje unaangusha mzigo wote huo au umekutana na darasa la saba wa kariakoo
  4. classic guy

    Hadi Kesho nisipoona Clouds Media Group, MCT, TCRA na Serikali ( Wizara ) husika vimemchukulia hatua Kali Mtangazaji Adam Mchomvu nitawadharau mno

    mwamba ame-make history, halaf yatapita kama mengine yanavyopitaga,ila ile mizuka ya huyo mtangazaji sio ya nchi hii
  5. classic guy

    Wafanyabiashara na wajasiliamali tumenyanyasika vibaya kwenye nchi yetu

    bado bot wanapita kwa mawakala wa mpesa,tigopesa,Airtel money yan hatari sana
  6. classic guy

    GE2020 Akiwa njiani kwenda Tarime, Tundu Lissu asimamishwa Lamadi-Simiyu, wananchi wataka kuongea na kipenzi cha Watanzania

    dah lissu ana ndagu au ndele naona kawakusanya kama wote hatari sana
  7. classic guy

    Matajiri hawalali masaa nane kwa siku

    mwamba dah mimi jua Kali
  8. classic guy

    Matajiri hawalali masaa nane kwa siku

    mimi mwenyewe hapa ninasoma uzi huu saa sita kasoro kumi, bado nipo golini mpaka nifike ghetto saa nane halaf kuamka kumi na mbili kasoro naona hiyo kulala kwa masaa nane ni watoto na wagonjwa
  9. classic guy

    Siri ya bandari ya Dar kuwa bora kuliko ya Mombasa

    diplomacy kitu gani sisi wanyonge tunataka ma-sgr ,fly over, Kama Uhuru ana kinyongo kimpango wake wamejipendekeza wametuletea madini yetu halaf kama kawa Jpm kamkazia
  10. classic guy

    Vipande vya fedha dhidi ya uhai wangu

    mwamba dah uliingia choo cha kike,ila tano nyingi kwa maafande
  11. classic guy

    GE2020 Kata ya Mbigiri Wilayani Kilosa itachukuliwa na Upinzani Oktoba

    mbigiri mabana mateteni hiyo da hatari sana
  12. classic guy

    Mfahamu Frincesco Lentin binadamu aliyezaliwa na miguu mitatu

    Kwenye hiyo picha ndio yeye, halaf mzee baba ame-relax kinoma yan
  13. classic guy

    Watanzania, Kuukimbia ukweli hakutatusaidia

    Mkuu brazaj majirani wivu tu unawasumbua,si unajua tupo uchumi wa kati,hao wanatuonea gere hawajaja lakin mzee wetu tumempumzisha kwa amani nyumba yake ya milele
Back
Top Bottom