Hadi Kesho nisipoona Clouds Media Group, MCT, TCRA na Serikali ( Wizara ) husika vimemchukulia hatua Kali Mtangazaji Adam Mchomvu nitawadharau mno

Hapana naanza kuona 'Double Standards' nina uhakika lile Tamasha lingekuwa la Wapinzani jana ile ile angehukumiwa. Tunataka aadhibiwe upesi.
Atakuja kula kwako sasa, CMG kule Ni majanga rungu limeshuka na of course litakuwa limeathiri salary slip za watu...
 
Na wewe punguza wenge, akiachishwa kazi familia yake itakula kwako ?

Kwahiyo Familia yake husika ndiyo imemfundisha Kuvuta hiyo 'Mibange' yake na 'imabariki' kabisa hata ule 'Upumbavu' wa Jana kwa Watanzania?
 
Kwahiyo Familia yake husika ndiyo imemfundisha Kuvuta hiyo 'Mibange' yake na 'imabariki' kabisa hata ule 'Upumbavu' wa Jana kwa Watanzania?
Mbona rais wako anatukana watu wazima hadharani lakini hupigi kelele achukuliwe hatua ?
Acha double standard.
 
Adam Mchovu ni mtu makini sana kabla hata ya kesi kupamba moto kasha jishusha.
Mbasha akitaka sifa kujitawala jukwaani aandae tamasha lake sio kapewa lift apige na honi #bange sana hata me ninge mlima 😃😃😃😃
 
Mbona rais wako anatukana watu wazima hadharani lakini hupigi kelele achukuliwe hatua ?
Acha double standard.

Rais wangu Dkt. Magufuli alishwahi kumpiga Mtu 'Mitama' hadharani kama huyo Bwege Nazi wenu Adam Mchomvu? Umetoa mfano wa hovyo sana.
 
Hatuwezi kumuacha Mpuuzi Mmoja kwasababu tu ya Mibange yake na Malezi yake ya hovyo hovyo atuchafulie Tasnia yetu nzima nchini Tanzania.
mwamba ame-make history,
halaf yatapita kama mengine yanavyopitaga,ila ile mizuka ya huyo mtangazaji sio ya nchi hii
 
aliyepiga mtama hakukaza mguu wake ilitakiwa mbasha alale chali palepale yeye analeta mambo ya gheto walikovutia bange zao :cool:
 
Aliyeandika hii thread naye anastahili kupigwa mitama sababu amezidi shobo kama anaimba taarabu, mtama kapigwa mwingine wewe shobo za nini?
 
Back
Top Bottom