Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,515
Wasio lala masaa nane mbona wengi tu!!!!;Mama ntilie,Wale wa machinjio,Wauza nyama mabuchani,Walinzi,Wanafunzi,n.k.
Kuto kuridhika sikweli bali anakuwa na passion tu ya kitu.Tajiri huwa haridhiki na mali zake siku zote hufanya kazi kwa bidii hata Kama akifikia peak na kuajiri wafanyakazi atakuwa tayari amezoea maisha ya kuamka mapema..
Hawezi sema ngoja ni rest anahakikisha anasimamia mambo yote
Usisahau pia kokote utakapokua endapo utataka kukata gogo lazima ukalatie kwny ka pori na sio kwny vyoo vya ndani ya nyumba,sijui ukiwa pale posta gogo unaenda kulikatia kwny pori gani aisee.Kwa tuliopatia utajiri ngende tunalala vizuri tu,shida ni masharti tu kama kutokula choroko,njugu nk.
wewe ni masikini halafu bado unalala masaa 8 ?? acheni utani na maisha
Gymkana, Salender Bridge.Usisahau pia kokote utakapokua endapo utataka kukata gogo lazima ukalatie kwny ka pori na sio kwny vyoo vya ndani ya nyumba,sijui ukiwa pale posta gogo unaenda kulikatia kwny pori gani aisee.
Wewe mwenyewe nani tajiri au ??mimi mwenyewe hapa ninasoma uzi huu saa sita kasoro kumi, bado nipo golini mpaka nifike ghetto saa nane halaf kuamka kumi na mbili kasoro naona hiyo kulala kwa masaa nane ni watoto na wagonjwa
mwamba dah mimi jua KaliWewe mwenyewe nani tajiri au ??
Na wale tunaoangalia movie mpaka saa 8 kumbe na sisi tuna tabia za kisonko[emoji23][emoji23]mwamba dah mimi jua Kali
Hata Bakhresa hata Bill Gates hata nini wote wanakua na hofu hata uajiri wafanyakazi millioni hawalali kwasababu wanahakikisha kazi zinaenda ipasavyo
Duuh!bado huaminiHuo ni uongo hakuna kitu kama icho....usilete maneno ya vijiweni hapa mkuu.
Jiajiri uwe mjasiliamali utaelewa maana ya kulala late na kuamka early. Hayo maajira siku yakiisha mtajua maana ya motivation speechMkoje mtusaidie kwasababu hawa wahamasishaji wa mtandaoni wanatukera