Baada ya kufanikiwa kwenye mikwaruzo kwa kutumia jivu na sabuni.....nataka Leo nikafanye window shopping ya spray na polish....sasa ombi langu ni :-naomba Bei elekezi ya spray na polish nisije nikapigwa.....sijawahi nunua kabla,so naomba abcds za Bei ili nikifika nicompare.Pia naomba na aina...
Bado sijapata ile polish,Kwa sasa nmetumia mbinu hyo ya majibu na povu la sabuni,na kwakweli niseme ahsante sana sana coz kuna mikwaruzo ambayo ilikuwa ya kawaida imefutika...na Kuna Baadhi ambayo imebaki ambayo hapa itabidi nispray kidogo.Ila all in all ahsante sana,hyo Mbinu ya jivu na sabuni...

Ngoja nijaribu polish nione coz nahisi ya kwangu sio mikubwa kihiivyo....nimeambatanisha picha hapo uone....unishauri kitu
Aisee naenda kuifanya hii sasa hv nami nione kama ni kweli ama laaa....ntakuja na mrejesho hapahapa.
Mm mkwaruzo wangu niliupata baada ya kusugua bodi kwenye mti,yaan kanjia kalikuwa kadogo so nilibana zaidi kwenye upande wa mti so ikakwaruza kidogo ubavuni....ila mikwaruzo hii haionekani Ukiwa Kwa mbali kiasi hadi uisogelee gari kabisa ndo unaiona.
Mikwaruzo mingine Iko kwenye bumper la...
"These less intelligent fellas have no inner power and they resort to seeking attention in order to compensate their sense of insecurity."
Huu ni ukweli mtupu.
Mbwembwe tu....hakuna sababu peculiar sana....zaidi zaidi ni kama wanajiBrand flan hv wanapojiita wakili msomi.....wanaamini thamani Yao inapanda na confidence pia inaongezeka ukiitwa wakili msomi😄😄🤣
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.