Recent content by Claret

  1. Claret

    Ukweli ni kwamba watu wengi wa Dar es Salaam wamezidiwa kipato na watu wa mikoani

    Ni Dar tu niliona kwa mara ya kwanza watu wanakula mpaka utumbo wa kuku ambao kijijini hata mbwa tukiona anakula tunampiga. Ila ndiyo hivyo umasikini wa kujitakia uliochangiwa na rushwa na ulafi wa CCM umetuleta hapa.
  2. Claret

    Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

    Mimi nipo nchi moja hivi kimasomo asikuambie mtu nimeona watu wa karibu sana wakidondoka. Maprofesa wangu watatu wamepukutika mmoja wawili waliopona wamekaa ICU siku 40 wametoka ukiwaangalia machozi yanatoka maana wakitembea wanapepesuka tu mpaka unasema ni bora wangefariki. COVID 19 haina...
  3. Claret

    Ufunuo wa Yohana ndo kitabu cha hovyo katika Biblia

    Tatizo la kusoma Bibilia kama Novel za akina Marvel. Mkuu Bible ikisomwa na asiye na Imani ndivyo hutokea kashfa na dhihaka. Jigunze kuheshimu Imani za watu hiyo itakusaidia sana kuwa mtu wa Busara na kuona mazuri hata ya adui zako.
  4. Claret

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kumfananisha na Martial umezingua huyu ni Van Nistelrooy enzi zake [emoji3][emoji3][emoji3]
  5. Claret

    Maajabu ya serikali ya CCM: Spika wa Bunge ana kinga na hashtakiwi, Wabunge wanatunga sheria lakini hawalipi kodi!

    Halafu kuna matahira mpaka leo wanamsifia wakati kashaoza tayari.
  6. Claret

    Maajabu ya serikali ya CCM: Spika wa Bunge ana kinga na hashtakiwi, Wabunge wanatunga sheria lakini hawalipi kodi!

    Huko ndipo wanapopoozwa wale wa kusifu na kulamba nyayo wakubwa.
  7. Claret

    Maajabu ya serikali ya CCM: Spika wa Bunge ana kinga na hashtakiwi, Wabunge wanatunga sheria lakini hawalipi kodi!

    Na ndiyo maana wataalamu wetu madaktari, mainjinia, maprofesa n.k. wameamua kuaibisha taaluma zao kuwahi huko kuvuna wasipopanda.
  8. Claret

    Bila kuwafunda vijana wetu taifa litaangamia

    Watakaolima watakuwepo tu mkuu usihofu acha vijana wale maisha ilimradi hawafi njaa na hawafanyi uhalifu.
  9. Claret

    Banza Stone: Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewee

    We endelea kujenga taifa mimi nitajengasiku nyingine.
  10. Claret

    Hakuna taifa linaloweza endelea kwa kuongeza tozo bali kwa kuchochea uzalishaji

    Na hawa humu sina imani nao tangu 2016 nilishaacha kujadili mambo mazito humu ni muda tu wataanza kutuchomea kwa wenye nchi kwa kugawa data zetu.
  11. Claret

    Hakuna taifa linaloweza endelea kwa kuongeza tozo bali kwa kuchochea uzalishaji

    Ni bora hawa wanaopigwa jua na vumbi wajenge hata nyumba ya tofali kuliko wale wanaojimilikisha nchi tokea vizazi na vizazi waliotuacha masikini.
  12. Claret

    Hakuna taifa linaloweza endelea kwa kuongeza tozo bali kwa kuchochea uzalishaji

    Hawa wachawi wa kupenda kodi wasitolea jasho wapo wengi. Kitakachofuatia wataanza kutunga visheria vya kula sahani moja na wakala na kampuni za simu. Ilasina shaka chochote kilichoundwa na binadamu kina weakness, tutakula nao sambamba hizo kodi za ujamaa sijui uzalendo wakaziongee kwenye vikao vyao.
  13. Claret

    Asante Mungu kwa kunipa mke huyu

    Mapema sana kushukuru subiri kidogo hata mfike 10 years bro.
  14. Claret

    Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

    Mimi niliachana cha mpenzi niliyemfahamu tokea tuna miaka mitano, na tukakua wote mpaka baada ya chuo tulipokuja kuachana in fact yeye ndiye aliniacha na ni story ndeeefu mno labda siku mmoja nitaiweka hapa wadau wajifunze. Kuhusu mada kuzoea hali ilikuwa ngumu sana. Kuna wakati nilijiona...
Back
Top Bottom