Miongoni mwa nyimbo za Marehemu Banza Stone alizo imba miaka ya 2000s kipindi cha awamu ya 3 Hayati B.Mkapa. Wimbo huo ktk kipindi hicho ulihamasisha sana wananchi kujitegemea kwa kujiletea maendeleo yao wao wenyewe.
Ulihimiza kuwa japo ss ni masikini lkn tunawajibu wa kunajenga nchi yetu sisi wenyewe kwa kufanya kazi kwa bidii na maarifa lkn pia kwa kulipa kodi, hakuna atakaye kuja kutujengea nchi yetu isipokuwa ss wenyewe.
Wimbo huo pia unaweza kupeta hamasa katika awamu hii ya 6 ambapo tunapaswa kulipa kodi ya tozo ya simu, mafuta na hata luku.
Hakuna wa kutusaidia bali ni sisi wenyewe watanzania lazima tuumie ili tujipatie maendeleo.
Wahenga walisema;
No pain no gain.
Lazima tuumie ili tupate mambo mazuri, tusijibweteke tukawa tunafikiria kupewa misaada,
Leo nimekatwa tsh.1800 nimejisikia fahari kuchangia maendeleo yangu.
pata uhondo huo.