Sema hujapata kukusahaulisha yaliyopita pia moyo wako tatizo ulijipa asilimia 100% na wakati huyo hakukupa asilimia 100 unatakiwa uwe mbali naye pia ufute namba zake iwe watsap etc upoteze kumbukumbu kabisa ya kumfikiriaHabari wakuu.
Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu EX mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.
Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii.
Nifanye nini wakuu?