Recent content by clap

  1. clap

    JamiiForums Tanzania Changamoto itakua ni nini? Kila nikiingia ajira portal naandikiwa hivi

    Elimu Elimu Elimu
  2. clap

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wengi ni mawakala wa usambazaji wa dawa za kulevya

    Tukikuita utoe ushahid pasina Shaka utakuwa tayari
  3. clap

    JamiiForums Tanzania Nimeweka pesa UTT AMIS toka wiki ilopita ila mpaka leo salio linasoma sifuri

    *150*82# Utt amis ussd code
  4. clap

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina 30,000 hapa, nahitaji kuanza biashara yoyote ile sasa hivi. Niko DSM

    Fanya biashara ya uji wa ulezi tafuta mahospital yaliyo karibu na wewe maana kuna wagonjwa wengi wanatafuta watu wa kuwapikia uji na hawawapati ukiwa mazingira hayo utakuwa umewasaidia sana
  5. clap

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma za Graphics design

    Ukisema una arrange una maanisha nn
  6. clap

    JamiiForums Tanzania Ni huduma gani zinafanyika mtandaoni?

    Heslb Maombi ya vyuo Tin number Examination results Kujisajili na ajira portal (utumishi) Kutengeneza post za kupost social media na logo (kama una ujuzi wa adobe angalau photoshop na illustrator) Kwa leo hizo zitakutosha
  7. clap

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aamuru Wasaidizi wake wamtoe nje ya uwanja mtu mmoja kwenye Sherehe za Mei Mosi

    Kila kitu kina utaratibu wake ata boss wako kazin una utaratibu wa kumfikia sio kumropokea kwenye makolido na hao ambao hawajapata fursa ya kufika uwanjani shida zao zinasikilizwa
  8. clap

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna soko zuri la asali

    Kama ulijua kuna inbox kwa nn umetuletea tangazo hapa
  9. clap

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Kwenye wengi kuna mengi
  10. clap

    JamiiForums Tanzania Kiasi cha 10,000,000 hisa za kampuni gani zitanipa angalau hela nzuri?

    Nenda UTT huu ni (mfuko wa serikali) kawekeze ila #zingatia umepata maelekezo ya kutosha kabla ya kuwekeza# anza kwenye website yao UTT amis tanzania au fika ofisin kwao sukari house dar es salaam pia unaweza wapigia namba zao zipo kwenye website utakuja nishukuru baadae...
  11. clap

    JamiiForums Tanzania Nauza mchele mzuri, nipo Dar es Salaam

    Hiyo nguvu uliyotumia kutia huruma ungetaja na bei kutokana na grade ulizonazo ungetusaidia sana ili ata tukipiga simu tujue pakuanzia
  12. clap

    JamiiForums Tanzania CBE na UDSM

    Kwanza degree alisoma program gan Kwenye ajira siku hizi hawaangalii vyuo naona wengi hasa watu wa masters wana angalia experience na ukiweza kujishusha utaishi nao vizuri Kati ya UDSM na CBE na kushauri uende udsm kwa kuwa cbe kuna bureaucracy sana kutokana na udogo wa chuo Watu wanamaliza...
  13. clap

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa graphics designers huu hapa

    Acha kuwatisha watu yaan hiyo ni sawa na ukisema kuwepo kwa calculator ni kuuwa soko la uhasibu design sio kuchora na kupangapanga tu picha ni taaluma. Mpaka ujifunze kwanza kama photoshop tu usifikiri utadownload canva na kuanza kupata dili za kutengeneza graphics Na kwa bahati mbaya usefully...
  14. clap

    JamiiForums Tanzania Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

    Kijana changamkia FURSA. Jiongezee KIPATO kwa kushiriki kutangaza biashara mtandao (e-commerce) Kwa maelezo zaidi bonyeza link ifuatayo na kujisahili (register) https://www.kalynda-e-commerce.com/#/register/index?code=436554871052
  15. clap

    JamiiForums Tanzania Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

    Kijana changamkia FURSA. Jiongezee KIPATO kwa kushiriki kutangaza biashara mtandao (e-commerce) Kwa maelezo zaidi bonyeza link ifuatayo na kujisahili (register) https://www.kalynda-e-commerce.com/#/register/index?code=436554871052
Back
Top Bottom