Every person who is resident in TZ (as per Income Tax Act Cap 332) pays taxes in his worldwide income.
A non resident person in TZ (as per Income Tax Act Cap 332) pays on his income that has source in TZ.
Hope this will help. Consult mentioned tax law for more details and rates applicable.
Ni kwamba gari ikiwa jipya retail price ni
$25,014
Retail Price ina kuwa assumed kuwa loaded na Vifuatavyo
Profit margin
25%
Import Duty
25%
Excise Duty - lesss than 2000 cc
5%
VAT
18%
Kama uko vizuri kwenye math, unatakiwa kuondoa hivyo vitu
ili kupata...
Hakuna hata sarakazi, ni sis wa TZ tu twapenda short cut na kujaribu kukwepa kwepa. Ni kwa uhakika sana kuwa estimate zinakuwa laki na laki na nusu, plus or minus. Ni vyema ukawa na imani na mambo yatakuwa sawa sawia kabisa. Utakapoanza kuleta ujanja wa kubabaisha na kubadilisha mambo ndo...
Inategemea umeliona kwenye mtandao upi kwani kuna wengine ni matapeli. Mitandao yenye uhakika iko mingin na wengine wana offisi hadi hapa Tanzania. Kwa hilo unabidi uwe makini na ufanye ka utafiti kadogo kama wana ofisi hapa TZ au kama kuna mtu alishawahi mahala hapo. Wauzaji wako wengi na ni...
Wauza magari mapya hapa tanzania, TOYOTA, DT Doby na wengine si wanayalipia kodi magari yao na kuweka profit magrni yao? Hivyo bei zilizowekwa ni za retai price kwa gari jipya ambalo lishalipiwa kodi na kuwekwa profit margin. Unapotoa hiyo margin na kodi zilizolipia unapata thamani ya gari...
Wewe unaongea vitu vya kufikirika tu visivyo na uhakika. Serikali ipi ambayo anayeanza kazi analipwa 2.7MLabda unazungumzia ya Marekani. Nafahamu watu wameanza BOT na kwingineko tena wakitokea one of Big 5 na wana more than 4yrs now huko TRA na BOT na hadi sasa ngo wanakati ya 2M na 2.6M. Sasa...
Wewe angalau unaweza kuwa Great Thinker kati ya wengi waliojaribu kujitutumua huku na mishahara yao bila kujaribu kumwelewa mleta mada.
Wengi walivyo shalo na wameishia kusema Tshs 1.35M badala ya Tshs 1.53M aliyoitaja mleta mada.
Watu wanashindwa kusoma btn the line, mleta mada anasema...
Ndugu Zanishaha usinganganie sana kuwa ulifanya IELTS St John, TZ hakuna centre ziaidi ya British Council. Na sioni score za Module zote nne na sijui Speaking, listening, writing and Reading. Sasa sijui hao wanaowadanganya sijui kina nai.
nasema kwa kuwa nilishafanya way back 2010 na nikaona...
Valid kwa miaka miwili tangia ulipofanya. Baada ya hapo yabidi ufanye tena. Hii ni kwa IELTS Academic ila kwa
IELTS General sijajua kama inaexpire in the same 2 yrs
Ndugu hicho sio cheti cha IELTS ni cha English Proficiency cha St John. IELTS viko standardized worldwide na vina details za kutosha na hutolewa na organisation Tatu tu worldwide otherwise ni void
1. University of Cambridge ESOL Examinations,
2. The British Council
3. IDP Education Pty Ltd
In...
Kweli hii habari imebamba. 5334 Users following the thread at per.
Kitendo cha kuzinunua copy ili zisifikie wasomaji na kutopatikana kwa site ya gazeti kwa
net ni ushaidi tosha hii habari ni ya kweli la sivyo watuhumiwa wasingetumia nguvu zote hizi
kama ingekuwa ni ya kutunga.
There are...
Naona mtandao wa gazeti la jamhuri haupatikani. Sina hakika kama uko bize kwa watu kuu-browse sana
au ndo wajanja wameshaufnyia fitna kama wanavyonunua kopi za gazeti husika ili tusisome hizo habari.
"Mbio za sakafuni huishia ukingoni and time will tell"
Waweza kuwa umemwona cheyo hawezi kuwa na fikra lakini aweza kuwa na fikra pana zaidi yako kama utasoma between the line wa hicho ulichoandika wewe mwenyewe.
Yeye kama mbunge na kwa kuwa ameona kuwa sasa kwenda kwenye ibada na familia yake haitawezekana kwa kuhofia kulipuliwa kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.