Mtihani wa IELTS pale british council.

Mtihani wa IELTS pale british council.

Huu mtihani ukishafanywa una expire lini? what is the validity time period?

Valid kwa miaka miwili tangia ulipofanya. Baada ya hapo yabidi ufanye tena. Hii ni kwa IELTS Academic ila kwa
IELTS General sijajua kama inaexpire in the same 2 yrs
 
Sisemi kuwa unapotosha, ila katika site ya IELTS inaelekeza kuwa kuna test centre moja tu Tanzania, na hiyo ni British Council. Mi mwenyewe ilibidi nifanyie hapo hapo. Anyone can follow the link below inayooonyesha testing centres za IELTS all over the world. Huenda ya St. John ni certification ingine. Pia nimepiga simu British Council na wali confirm kuwa they are the only testing centre - 0686 888 000. Ni katika kusaidiana tu. Much love.

http://www.ielts.org//test_centre_s...ubRegion=b6f2baa8-ab6a-475e-adc3-fa42bfb11270

Ndugu Zanishaha usinganganie sana kuwa ulifanya IELTS St John, TZ hakuna centre ziaidi ya British Council. Na sioni score za Module zote nne na sijui Speaking, listening, writing and Reading. Sasa sijui hao wanaowadanganya sijui kina nai.
nasema kwa kuwa nilishafanya way back 2010 na nikaona procedure zote na by then nililipa karibia laki nne sasa wewe unasema elfu tano.
Unapewa cheti kimoja na kila ukihitaji cha ziada unalipa karibia elfu 30
 
kaka tunazungumzia IELTS - INTERNATIONAL ENGLISH LANGUAGE TEST STANDARD,popote itakapohitajika IELTS ndo hiyo hao ni representative kaka anyway tuyaache,ila jua popote waliporusiwa na wakafanya hiyo test ni sawa,na isije nikawa napoteza nguvu wala huifaham,usiku mwema


Waingereza wana akili na huwa hawafanyi mchezo kwenye haya mambo,me nikuhakikishie kwamba,kwa Tanzania huo mtihani wa IELTS centre yao ipo British Council peke yake na kama umefanyia chuo basi ni fake 100%....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom