Namba moja: Ni gazeti la Jamhuri limeeandika
Namba mbili: Manyerere Jackton yuko nyuma ya habari
Mh....... kuna kitu kinasetiwa hapa!!!
Lazima uwe na akili ya maiti kutetea polisi wanaofanya biashara ya bangi.hata mie machale yamenicheza.THE GUY COULD BE A PLANT..Inawezekana ako na agenda.katika zama hizi za siasa chafu lolote laweza kutokea.coicedence ni kuwa jana tu sugu anaongea bungeni kuwa serikali inaua watu,kesho yake mtu aje bungeni kuleta hizo issue.inaonekana kama iko stage managed.
Kama ni kweli kuna huyo mtu achunguzwe sana.pengine anatumika anaweza akaambia.
''kula hili deal mtu wangu,wewe nenda pale bungeni useme haya maneno baada ya sugu kutoa hotuba bungeni,kwakua wewe jambazi mzoefu wataamini tu ,sie tutakupa milioni 50..usiwe na hofu wakikufunga,2015 nikiwa rais NITAKUTOA NAKUKUPA UDC.
haya nchimbi, kombe mlimfananisha na jambazi, huyu naye alifananishwa na nani? Au na kibaka? Maana ndo zenu na akina lukosi, genius brain, utaifakwanza, nape nnauye, mwigulu nchemba na wengine kusifia polisi....
Huko JWTZ Alijieleza vya kutosha na wanajeshi walimwonea huruma wakampa Tsh 10,000/=
Si sahihi kuishutumu CCM kwa kila kitu tena bila ushahidi mkuu. Hapo juu taarifa yako imesema kuwa ni genge ndani ya polisi Mwanza ndio ilihusika (hakuna popote CCM inakua linked) kisha unaandika kwamba Mh. Pinda n Waziri Nchimbi (viongozi wa serikali ya CCM) wamempa huyo kijana ulinzi. Je hauoni contradiction hapo na kudai CCM ina husika. Pia hutoa hata ushahidi wa kimazingira wa CCM kuhusika kwenye mauaji ya RPC (ambae huteuliwa na raisi na anaweza hamishwa muda wowote na raisi).
Tuwe waangalifu kwenye kutupa tupa lawama. tusipende kuonekana wajuaji wa kila kitu. Kuna vitu vingine hata kama unahisi kama huna ushahidi unakaa kimya na unajizuia kutamka kwenye public domain.
---------------------------------------------------
Kwani jeshi linakutumikia wewe au serikali dhalimu ya ccm? Kwani unadhani wanaolea uovu na wanaoweza kuutokomeza ndani ya polisi si ndio haohao ccm? au unaona just there tu... afterall hao pinda na Nchimbi hujui walimpa hifadhi kwa sababu zipi na kwa nini...maana at that point huyo mtu alishapita kwingi na taarifa zimeshavuja tayari...au unadhani wao hawajui dhana ya usalama wa taifa? Lwako
Kwa Tanzania yetu inavyoendeshwa huwezi kutenganisha polisi na CCM there is no clear line between police and the ruling party CCM..By MwanaFalsafa1
Si sahihi kuishutumu CCM kwa kila kitu tena bila ushahidi mkuu. Hapo juu taarifa yako imesema kuwa ni genge ndani ya polisi Mwanza ndio ilihusika (hakuna popote CCM inakua linked) kisha unaandika kwamba Mh. Pinda n Waziri Nchimbi (viongozi wa serikali ya CCM) wamempa huyo kijana ulinzi. Je hauoni contradiction hapo na kudai CCM ina husika. Pia hutoa hata ushahidi wa kimazingira wa CCM kuhusika kwenye mauaji ya RPC (ambae huteuliwa na raisi na anaweza hamishwa muda wowote na raisi).
Tuwe waangalifu kwenye kutupa tupa lawama. tusipende kuonekana wajuaji wa kila kitu. Kuna vitu vingine hata kama unahisi kama huna ushahidi unakaa kimya na unajizuia kutamka kwenye public domain.
kama habari hii ni ya kweli basi wanaofanya siasa chafu inabidi wajiangalie mara mbili mbili maana hata JW haiwaamini tena!
Ina maana sasa hao waliokamatwa (Fumo Felician na wenzake) ni geresha na ndio wanatolewa kafara kama Lwakatale!?
Huko JWTZ Alijieleza vya kutosha na wanajeshi walimwonea huruma wakampa Tsh 10,000/=
Taarifa imekaa kisiasa zaidi kuliko kisheria. Nasikitika kwa CHADEMA kujaribu kila kukicha kuwachanganya watanzania.
Haiingii akilini hata kidogo kwa mtu mwenye taarifa nyeti akajisalimisha kwa chombo makini kama JWTZ eti kupewa Namba za simu za wabunga C CHA UPINZANI. Hebu jiulize maswali machache, hivi huyu msamalia mwema hakuweza mwenyewe kuwapigia hao wabunge wa upinzani. Pili nauli na 10 000 T sh, pesa ya kulala huko aendako. Na kwanini asipokelewe na hao aliowafuata.
Ndugu zangu sababu za Gazet kuandika habari hizo ni nukuu hii
"Kwa mapana zaidi soma gazeti la Jamhuri KAMA zinanunuliwa kwa kasi na watu wasiofahamika"