Recent content by ckam

  1. C

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    Hivi kwani inachukua muda gani kwa mbunge ugeni kuisha huko bungeni?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Mnyika apanda daladala!

    Ndio hilo lolote!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Deogratius Kisandu wa BAVICHA ajiuzulu uanachama CHADEMA

    Mkuu Thanda jamaa anataka wanaopotoka kimaadili wawe wanarekebishwa pasipo kufukuzwa, sasa yeye mwenyewe aliyepotoka amejifukuza/amejivua uanachama mwenyewe si angewasubiri warekebishaji wa tabia mbovu waje wamrekebishe!
  4. C

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Mkuu, huyo Ben naona kawashika wenzake pabaya sasa kila mmoja anakuja kivyake kujitetea. Mimi naona Busara ni kwa watuhumiwa/wasaliti/masalia kukaa kimya na kila mmoja kutoa ushahidi wake au hayo malalamiko yake sehemu stahili na si hapa jukwaani.
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujiunga na offer ya internet ya usiku vodacom

    Piga *149*01# halafu uchague 3 wajanja night offer! Ila uhakikishe una salio la Tshs 200.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

    Yaah! Retired wanakuwa wameshakula pension yao hivyo wanaona hawana cha kupoteza!
  7. C

    JamiiForums Tanzania Bungeni Live: Naibu spika akataa hoja ya Lissu kuzungumzia kuzama kwa meli

    Kwa lugha nyepesi alikuwa anajitukana mwenyewe, nywele anazo kufikiri ndo hawezi!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

    Mkuu speedy jaribu basi kupunguza speed ya lugha hiyo kali kwa rais wetu, ukumbuke humtukani yeye tu unatukana pia watanzania walio mchagua!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kutoka bungeni... nimemsikiliza wenje hadi nikasisimka.

    Teh teh teh, anafikiria hivyo hivyo alivyofikiria! Usipoteze muda wako mkuu na mtu kama huyo!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Ni lazima uchangie Ribosome?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Lusinde?

    Anamzungumzia ngumi moja tu kudadadeki!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

    Halafu anasema "Tumechoka" sijui wako na nani waliochoka teh teh teh!
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaoijua dar vizuri nisaidien kwa hili.

    Senetor uwe mwangalifu na hilo boom lako la mwisho mwisho maana maisha ya kitaa yanakungoja!
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa madaktari - Updates

    Kipepe-100%
  15. C

    JamiiForums Tanzania DCI Manumba: Mwakyembe hajalishwa sumu!

    Mkuu MARQ nimekukubali kwa point namba 4! DCI alikuwa anaongea bila kujiamini!
Back
Top Bottom