Salamu kwenu wakuu.najaribu tazama njinsi nchii inavyo enda naona kabisa Tunapoelekea siko. Kila wakati mambo yanaenda ovyo tu. Mm sio mwanasiasa ila naona kabisa hizo dalili zpo.Ona kila sehemu ovyoo tu:
1. Elimu mbovu kupita kiasi
2. Sekta ya afya majanga tu
3. Uchumi ndio usiseme. n.k-...
Wadau hivi credit za advance sahizi zimekaa vp? je ni D, C, B or B+ msaada jamani watu wanataka wasome tuisheni but big result bado haieleweki kwa wengi
Sina ajira nina degree yangu ya bcom acc. Najifunza mengi sana toka kwa waajiriwa, mimi tangu nikiwa mdogo kunamaisha ambayo nilikua ninayapenda niishi ila kilasiku zinaposogea naona ni ndoto hasa ninapo waangalia hawa waajiriwa da sioni hata mmoja ambaye aweza kua mode wangu wote shida tu. Sio...
Nyie endeleeni kuangaika na hivyo vyuo badala kufanya mambo ya maana. cjui udsm cjui udom mala muhimbili mtakapo shituka tayali miaka 45 isha fika hata baiskel huna look very
wadau huu mkeka vp c nawaliza hawa lea
1153403770043 Standard account
------------------------------------------
[6/6]
0381 20-02 21:00:00 Dnipro-Tottenham
Final Score 2 2.65
1354 20-02 23:05:00 Plzen-Shakhtar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.