Recent content by Cjtranter

  1. Cjtranter

    JamiiForums Tanzania ACACIA: We declare everything of commercial value that we produce and pay all appropriate taxes

    Hali ya share za Acacia kwa sasa
  2. Cjtranter

    JamiiForums Tanzania ACACIA: We declare everything of commercial value that we produce and pay all appropriate taxes

    Acacia dropped as much as 15 percent to 370.10 pence at 9:49 a.m. in London, the biggest intra-day decline since March 3
  3. Cjtranter

    JamiiForums Tanzania Songwe Airport ni Bomu linalo subiri kulipuka

    Hiyo hali ni ya kawaida sana, sisi wenyewe wakazi wa Mbeya muda huu hatupandi ndege,tunajua kinachoendelea . Maana wingu kubwa la mvua kwa huku mbeya linatega maeneo hayo ya milima songwe. Hilo linaeleweka baba.
  4. Cjtranter

    JamiiForums Tanzania Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

    Sasa chadema inakuwa chama cha Mateja Kezman,hatari.
  5. Cjtranter

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mimi sijaribiwi, wasije kunijaribu. Atakayeleta vurugu atashughulikiwa bila huruma!

    Mtukufu raisi usiwe na wasiwasi na hawa vijana wa chadema hawaendi kuandamana hata kidogo, wanaenda kushika ukuta wa demokrasia ,hatujawaelewa tu , ni kwamba wanaenda kushika ukuta tu kwa kifupi.
  6. Cjtranter

    JamiiForums Tanzania Tangazo muhimu kwa kila Mwanachadema na Watanzania wote

    Hawa jamaa kutoa kafara watoto wa wenzao , na sasa wanataka kusema haki ,mimi sipo huko, mkashike wenyewe tu UKUTA. Maandalizi mema ya maandamano.
  7. Cjtranter

    JamiiForums Tanzania UKUTA: Tathmini ya kitakachotekea baada ya hili tamko

    Haya Chadema ili neno UKUTA, mtashikishwa UKUTA kweli wa demokrasia au Ukuta upi?haya maneno ,haya muwe mnaangalia.
  8. Cjtranter

    JamiiForums Tanzania UKUTA: Tathmini ya kitakachotekea baada ya hili tamko

    Chadema kinaenda kufutwa soon,time will tell.
  9. Cjtranter

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni, Niko Kwenye Kipindi kigumu Sana

    Sasa wewe mtu kakukimbia kwenye shida, muda ambao ulikuwa unahitaji suppoti ya kutosha. Huyo hafai, lakini mambo ya mapenzi bwana wewe mwenyewe chukua hatua.
  10. Cjtranter

    JamiiForums Tanzania Tanzania ilimuhitaji Magufuli, lakini sio huyu.

    Huyu kwa kweli inawezekana amepoteza cheti cha form four.
  11. Cjtranter

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaja na makubwa baada ya Kamati Kuu

    Kwa hiyo kamati kuu imeamua kwenda rumande tena au wameamua kubadilisha gia chini sasa?Siasa ni hatari sana.
  12. Cjtranter

    JamiiForums Tanzania Magufuli achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa kumrithi Kikwete. Makamba asema “Magufuli atawabatiza kwa moto“

    majipu yanaanza kutumbuliwa CCM. wanahakiki mali za chamba, kazi ipo.
  13. Cjtranter

    JamiiForums Tanzania Magufuli achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa kumrithi Kikwete. Makamba asema “Magufuli atawabatiza kwa moto“

    Eti unaingia kwenye kikao, watu wanaimba tuna imani na Lowassa, Mimi sina uvumilivu, nusu ya wanaoimba wangepotea.
  14. Cjtranter

    JamiiForums Tanzania Magufuli achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa kumrithi Kikwete. Makamba asema “Magufuli atawabatiza kwa moto“

    Mzee Msindai anaomba msamaha kwa CCM , kwa kwenda Chadema. Ngoma Droo. Alikwenda chadema ,ni kama Mahabusu.
  15. Cjtranter

    JamiiForums Tanzania Magufuli achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa kumrithi Kikwete. Makamba asema “Magufuli atawabatiza kwa moto“

    Chadema kisajiliwe Brela ,kifanye biashara
Back
Top Bottom