Sisi wa tz tunajua kuongea tu mitandaoni ndo maana watu wanazidi kufanya wanavyotaka
Angalia kule kwa wenzetu sjui bangalesh watu walijimilikisha ikulu
Kimbia mbio mkuu,,,, nilikua naambiwa hivyo hivyo kua yeye anashiriki tendo na mimi tu
Mpaka siku nilioanza kuskia harufu huko chini baaada ya kupika peku
Nikamlazimisha tupime kwa mbinde eeh bwna weeee nilichokiona kwenye vipimo nilitoka nduki lodge kukimbilia PEP
Nashukuru mungu...
Hapa ndo unaona wanawake hamna kitu , nimecheat na wanawake tofaut wazur sna kushinda mke wangu kwa kila nyenzo ila sijawai kamwe kupoteza hisia na mke wangu
Wanawake nyiny ni ovyo kabisa mkicheat mara moja ndo basi dishi limeyumba mazima
Mkuu ,ungeingia kwenye ponzi scheme ambayo inadumu mda mrefu na kupata team kubwa ungepiga commission za kibabe
Yaani ungeweza ingiza hata 6m kwa siku ya commission tu watu wanatajirika vbaya sna ila ni wachache wale ambao walianza mapema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.