Recent content by cityzen

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kama uliwahi kuisifia series ya LOST njoo hapa

    Lost ni bonge LA series nimeangalia yote
  2. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

    Kuanzia Leo dar ni jiji Jiwe kashaondoka
  3. C

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

    Ukiona mtu anaogopa kukuonesha kwake ,basi jiongeze.... Kama nyumbani kwako ni pazuri lazima utatamani kuwaonesha watu tu ....
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa iyo kafirisi kampuni mkuu
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kama Magufuli hakuvaa viatu vya Kikwete, mama Samia hawezi kuvaa viatu vya Magufuli

    Tunataka kuona maono yake ... Hii ni awamu ya sita ,sio tano
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kama Magufuli hakuvaa viatu vya Kikwete, mama Samia hawezi kuvaa viatu vya Magufuli

    Habari wakuu Tufike muda tuache mihemko, kwanini tuanze kumpangia Mh Rais wa Jamhuru ya Muungano wa Tanzania Samia kuvaa viatu ambavyo wengine hawakuvaa. Nani aliyevaa viatu vya Nyerere baada ya kifo .. Nani alivaa viatu vya Mwinyi. Je, Mkapa ? Huyu ni mheshimiwa Rais kuanza kumlazimisha...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi: Rais Magufuli aliagiza nirejeshewe Passport yangu na alisema 'Wewe ni Askofu wangu utanizika'

    Mimi ningekuwa askofu ,ubaya ubaya tu Kudddddadeeeeeeki
  8. C

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii ya kutandika Biblia chini ili marehemu apite imekaaje, Mwenye uelewa na hili pitia hapa

    Wamechanganyikiwa hao mkuu achaba nai
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Hakuna alichowafanyia hawa wanyonge zaidi ya kuwafanya. "MASIKINI JEURI"
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Game za afcon 22bet hawana ?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Weken mkeka Wa leo
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daaa ukiwa na hii imani utaishi vizur hapa dunian
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkeka Wa tip master Wa Leo tupeane wakuu
  14. C

    JamiiForums Tanzania Naomba mnipe nguvu ya kusonga mbele!

    Kajinyonge tu Hakuna namna
Back
Top Bottom