Recent content by Ciril

  1. Ciril

    SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Dunia sio sehemu nzuri tena ya kuishi ni vile Binadamu hana chaguo la kuzalliwa au kubaki huko huko alipo.
  2. Ciril

    Israel: Tutawafikia popote mdhanipo ni mbali

    Magaidi kazi wanayo na hivi Israel ipo serious ,mimi nnaumizwa na Raia tu huwa wanakuwa ni wahanga wa mapigano siku zote.
  3. Ciril

    Ukatili wa Putin umedhihirika dunia nzima kupitia kifo Cha Prigozhin

    Ikiwa Putin anahusika baasi ni kama katoa ujumbe kwa Mtu mwingine yeyote asithubutu kuujaribu utawala wake.
  4. Ciril

    Wakuu hii silaha ya kuitwa ATACSM ndio kakabidhiwa rasmi Ukraine. Sasa ndio tunaweza kusema vita imeanza rasmi(ATACSM ni makombora ya masafa marefu)

    Vita ni Akili ni mipango ni malengo flani yana tafutwa kufikiwa ,Vita ina mambo mengi sisi kama watazamaji tutaishia kuona na kusikia wanayo hitaji kusikika.
  5. Ciril

    Tukiondoa muda ni nini kinabaki?

    Athari ni nyingi sana ,na sidhani kama hawakuwa wakitunza muda ila ilikuwa kizamani sana.Binafsi nnakumbuka kwa sababu ya uduni na hali ya umasikini nilikuwa nikitunza muda kwa kuangalia kimvuli cha Jua na wakati mwingine Jua lenyewe. Nilijua muda upi ni sahihi kuwahi Shule na muda upi ni...
  6. Ciril

    Tukiondoa muda ni nini kinabaki?

    Wa kale pia walihitaji kufahamu muda/majira kupambana na changamoto zao ,tofauti yao ilikuwa ni njia walizo tumia kufahamu wakati.. Kwa mfano bila ya muda au vipindi flani vya majira inge wezekana vipi kujua wakati sahihi wa kupanda mazao yao !?.
  7. Ciril

    Tukiondoa muda ni nini kinabaki?

    Wakale waliishi kwa mazingira yao na wlaitambua muda na vipindi mbali mbali kama vile kutazama kivuli cha Jua kutambua wakati. Kwa sasa hivi tunaishi kwenye utandawazi mkubwa ,kwa kifupi utandawazi umekuja kutusaidia kwa kurahisisha mambo mengi.
  8. Ciril

    Tukiondoa muda ni nini kinabaki?

    Muda ume kuwepo kwa sababu Binadamu anao ukomo na vyote vinavyo tokana na Binadamu pia vina ukomo ,mfumo mzima wa Maisha ya Binadamu una tegemea muda.Nyakati ni matokeo ya muda sasa ukiutoa muda hapo utabaki na nini Mkuu ?
  9. Ciril

    Nahitaji kujua kazi maalumu za askari wa kila cheo(JWTZ)

    Baadhi wanaweza kuhisi kwenye maelezo yako kuwa ume puyanga ,binafsi nnaamini katikati ya maelezo yako upo ukweli kiasi fulani hivi. Shukrani.
  10. Ciril

    Hii ya Watoza Ushuru kuvalishwa Camera ili kuzuia rushwa imekaa vizuri!

    Tuchukulie ni kweli je; yale makamera ya kule Bandarini yamesha onesha ufanisi wa namna gani mpaka sasa !?..Wizi ni jadi ya wana CCM labda itokee apatikane Mtawala apitishe adhabu ya kunyongwa hadharani na iwe ina tekelezwa ,kinyume na hapo Serikali (Mfumo) wata endelea kuwaibia Raia kodi zao...
  11. Ciril

    SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

    Kila kitu kwa kipimo hata Vyakula vinaweza kugeuka kuwa Sumu kama havito tumiwa kwa mpangilio , Bangi ni ulevi unapo anza kuvuta hii kitu na ukapoteza umakini ni rahisi kuingia ktk unga. Walau wenzetu wana jitahidi kuvuta kwa kipimo na mifumo ya Maisha yao ni tofauti na ya kwetu ,siwa shauri...
  12. Ciril

    Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

    Ile ni gear tu ya kumuibia Mtu na huwa wanakuwa zaidi ya mmoja ,wana kusachi na kukuacha mweupe.Maeneo kama hayo ustaarabu hamna ni Wizi tu wakati wote hasa kwa Walevi.
  13. Ciril

    Psychedelic Drugs & Consciousness

    Ubarikiwe sana Mkuu ,nime elewa vyema sana na asante sana.
Back
Top Bottom