Mossad yatajwa kutibua shambulio dhidi ya Waisraeli katika nchi za Tanzania, Ghana na Senegal

Dalmine

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
5,824
2,000
View attachment 2003942 haya majitu yakitembelea nchi yako unabarikiwa tu tena kwa LAZIMA.

Waliuwa baadhi ya Mitume hao hawana maana, na wanachokifanya palestina co cha kushabikia. In short walishapata laana, na inawatesa kwelikweli hawakai kwa ku2lia all the time ni watu wa wacwac.


Mama awe makini sana na hawa viumbe waliolaaniwa.
 

Ciril

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
8,562
2,000
Kuna magaidi halisi siyo kama wale wa kisutu

IMG-20210731-WA0008.jpg
 

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
9,160
2,000
Wameisha tena kutuingiza kwenye migogoro yao hisiyo kuwa na kichwa wala miguu - lengo Mayahudi ni kutaka kuvuruga mahusiano ya Iran na bara la Afrika, mfano: Iran inashirikiana naTanzania kwenye miradi kadhaa - sasa tukija kwenye masuala ya kitalii ya nini kushirikiana na Taifa ambalo masaa yote inawaza/ogopa magaidi wa kweli na wa kubuni tu inatumia woga wao kuharibia sifa mataifa ambayo wanadhani ni sworn enemies wao kwa bahati mbaya western media nazo zinakuza sana propaganda za Wayahudi - hapo wataisema vibaya Iran mpaka tukome.

Kweli Taifa letu tunakaribisha watalii, lakini tusiendekeze watalii ambao wata end up kuwa liability kwetu huku tukijidanganya kwamba vyombo vya kijasusi vya Taifa hilo ni mahili sana kudeal na magaidi - wewe unafikiri potential watalii kutoka Amerika na Ulaya wakisikia eti wagaidi walikuwa na mipango ya kufanya ugaidi nchini Tanzania na kwingineko kwa lengo la kuwadhuru Watalii wa Kiyahudi, ni mtalii gani atakuwa na shahuku ya kutembelea vivutio vya kitalii Tanzania ambako usalama wao siwakuaminka!

Kama kuna ulazima wa kuwaleta watalii wa Israel nchini mwetu kwa nini hawaji kimya kimya bila ya publicity stunts kwenye media - mbona mamillionea kutoka huko Amerika utembelea vivutio vya kitalii nchini mwetu kimya kimya tu - mnashindwa nini kuwapa mashariti Wayahudi kwamba katika ujio wao nchini kwa ajili ya usalama na kulinda biashara zetu za kitalii ,basi waje kimya kimya bila ya kujitangaza, halafu wasitu letee rivaly baina yao na Iran kwa kuwaogopesha potential tourist kutoka Mataifa mengine kuja kutembelea Tanzania wakiigopa magaidi kwa kuwa kasema Israel.

Bottom line, is: Tanzania tuwe makini na ugomvi na hujuma zinazo endelea baina ya inchi hizi mbili yaani Israel na Iran ushindani/ugomvi wao husije ukatugharimu dearly in terms of tourism industry nchini mwetu siku za usoni, idadi ya watalii inaweza ikapunguwa watalii wasipo kuwa na uhakika kuhusu usalama wao nchini mwetu.
 

Ushindi victory

JF-Expert Member
Dec 11, 2018
789
1,000
Sababu Mungu tunayemuabudu ni wakwao. Sisi tukapata Tu kumjuakwa Neema zake
lijinga lingine hil hapa?? iv unazan huyo Mungu unae muabudu ndye wanaemuabudu?? dini imeletwa na mzungu ambaye si myahudi, na ilkuja kwa mateso zaid ya mamilion ya waafrika waliuawa ili wapokee dini, sasa huyo mshenzi mnaemuita Mungu wa neema anawezaje kuuwa watu kwa kulazmisha imani yake ieneee kinguvu? huyo ndye Mungu wa upendo? hiv waafrika mtaamka lini eny wapumbv na wavvu wa kusoma historia zenu...
 

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
7,155
2,000
Hizi dini zingine sijui Zina tatizo gani.Masaa yote yanafikiria kumwaga damu za Watu wengine TU!
 

black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
18,986
2,000
Hizi dini zingine sijui Zina tatizo gani.Masaa yote yanafikiria kumwaga damu za Watu wengine TU!

Kama kina Bush na Blair walivyozishambulia nchi za kiarabu na kuiba mafuta na vito vyote vya kizamani
Anaenda kuishambulia nchi ya watu na anaelipa kisasi yupi Gaidi?

Afghan wana kosa gani? Iraq je? Vipi Somalia ilivyoshambuliwa na USA bila kosa na matukio yake walipigwa kupigo cha mbwa koko mpaka wakakimbia

Ushabiki mwingine lazima uangalie uhalisia ukoje
 

babu na mjukuu

JF-Expert Member
Jun 23, 2016
2,928
2,000
Hizi dini zingine sijui Zina tatizo gani.Masaa yote yanafikiria kumwaga damu za Watu wengine TU!
Kama zilivyo dini zile zinazoendekeza ushoga,ubakaji,ulawiti kwa wahudumu wa nyumba zao za ibada.
Rejea yule mchaga Six... Kim... Aliyekutwa kwenye gari eneo la viwanja vya chuo kikuu cha DSM akimbaka mhudumu wa nyumba yake ya ibada.
Uzuri watakatifu wote walisimama nae hadi leo kesi ile kimya
 

Dalmine

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
5,824
2,000
Kama zilivyo dini zile zinazoendekeza ushoga,ubakaji,ulawiti kwa wahudumu wa nyumba zao za ibada.
Rejea yule mchaga Six... Kim... Aliyekutwa kwenye gari eneo la viwanja vya chuo kikuu cha DSM akimbaka mhudumu wa nyumba yake ya ibada.
Uzuri watakatifu wote walisimama nae hadi leo kesi ile kimya

Kama ulifatiria clip moja ivi ya kanisani,,,, waumini wakike wananyolewa mavuzi na viongozi wa kanisa ambao ni wanaume, tena kadamnac. Hatwari sana shehe
 

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
7,155
2,000
Screenshot_20211110-132925.png
Kina Sirro walitakiwa wachunguze balozi kama za Iran hapa nchini kwa kufadhili ugaidi badala ya kusumbuka na kina Mbowe,kesi za kubambikiwa
 

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
7,155
2,000
Kama zilivyo dini zile zinazoendekeza ushoga,ubakaji,ulawiti kwa wahudumu wa nyumba zao za ibada.
Rejea yule mchaga Six... Kim... Aliyekutwa kwenye gari eneo la viwanja vya chuo kikuu cha DSM akimbaka mhudumu wa nyumba yake ya ibada.
Uzuri watakatifu wote walisimama nae hadi leo kesi ile kimya
Hili ni janga Huko kwenye vyuo vya ilimu ahera watoto wa kiume wanalatiwa huoni Hilo?Ugaidi na dini ya mnyazi mungu ni undugu usiotengana!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom