Recent content by cipher_

  1. cipher_

    JamiiForums Tanzania MSAADA: University of Dodoma

    ...Hamna namna, you are fckd!
  2. cipher_

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    Hii kozi ni mpya au ilikuepo tangu zamani?. Sijawahi iona kwenye list ya programmes offered na SUA.
  3. cipher_

    JamiiForums Tanzania Tabia 10 mbaya zilizozoeleka makanisani mwetu

    Hiyo ya 4 tunaita fashionably late....We are never late.
  4. cipher_

    JamiiForums Tanzania Tujadili kuhusu maisha baada ya Chuo

    Ni bora kujijengea msingi mzuri ukiwa chuo kuliko usubiri umalize chuo ndio uwaze cha kufanya. Ila huku mtaani hardwork pays.
  5. cipher_

    JamiiForums Tanzania Chukua muda wako kutazama hizi Movies Weekend hii

    Hiyo Annihilation siioni kule. Au hujai-upload?
  6. cipher_

    JamiiForums Tanzania Mzee, unapenda movies kali? (Session 04). Weekend hii ruka na hizi!

    Ile Mulan uliyoweka mle sio ya mwaka huu...fanya mpango ya mwaka huu basi
  7. cipher_

    JamiiForums Tanzania Simu yangu ya Tecno inasumbua inaandika 'Google play has stopped'

    Yajayo yanafurahisha, Upo tayari?
  8. cipher_

    JamiiForums Tanzania Coiling Dragon Cliff: Daraja la utalii China linalohitaji ujasiri kulipita

    Likitokea tetemeko la ardhi wamejipangaje?
  9. cipher_

    JamiiForums Tanzania Is Einstein time dilation valid?

    Kumbe Physics ndivyo ilivyo...kuna kauzuri fulani hivi. I'm a "from CS50 import .... guy". Na subscribe hapa nijifunze. nb: Usisome ili ukomenti.
  10. cipher_

    JamiiForums Tanzania Soko la wanyama pori nigeria

    wanauza nyama nyeusi!
  11. cipher_

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya #77Nyeupe kudai Tume Huru ya Uchaguzi

    Ukitoa meno,sina kitu kingine cheupe.
  12. cipher_

    JamiiForums Tanzania Marekani inatarajia kufungia mtandao wa Tik Tok na mitandao mingine ya kichina

    Wafungie na VPNs zote
  13. cipher_

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya #77Nyeupe kudai Tume Huru ya Uchaguzi

    Mimi binafsi sijavaa t-shirt nyeupe kwa sababu sina and I'm broke to buy a new one.
  14. cipher_

    JamiiForums Tanzania Shirika la Afya Duniani larekodi maambukizi zaidi ya laki 2 ya Corona ndani ya saa 24

    Hapo kuna wale hawajatoa data. "i stand back and fade away b'cz bila wewe i got nothing to say, Nataka wakuone tu wewe na sifa zote wakupe milele." My bright morning star.
Back
Top Bottom