Recent content by cipher j

  1. cipher j

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wizi wa Fedha za Umma: Mapendekezo ya Hatua za Kuchukua

    Mada nzuri na yakizalendo kabisa lakini naomba tu niwakumbushe kwenye nchi zote zilizoendelea msingi mkubwa kabisa wa uchumi na maendeleo ni idara za intelligence kwenye nchi zao. Ikumbukwe hawa ndyo washauri wakuu waserikali kwenye nyanja tofauti za kiuchumi, kijamii, namasula ya kiulinzi na...
  2. cipher j

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Wachina hebu kuweni serious

    200000 serious huu ni udhalilishaji ndugu zangu tena ukifanya hiyo inakupa psychological torture kwasababu nafsi inaumia
  3. cipher j

    JamiiForums Tanzania Kuna nini nyuma ujenzi wa bwawa la Nyerere la kufua umeme

    Sina mashaka na hili hata kidogo
  4. cipher j

    JamiiForums Tanzania Unakataje miti milioni 4 ili kujenga la umeme (JNHPP)

    Hujui chochote
  5. cipher j

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mgao wa maji unatokana na ubishi na ukaidi wa binadamu pia na kudra za mwenyezi Mungu

    Labda tu niwaibie siri kidogo hizi mambo za umeme na maji ni mipango ambayo soon tu mtaona nini hasa lengo
  6. cipher j

    JamiiForums Tanzania Ziara za Rais Kanda ya Ziwa zimekuwa too much

    Hili jambo lipo kk tunaliona sana na sio samia hata mwendazake aliyafanya haya
  7. cipher j

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Aliecheki movie inaitwa home land atafahanu nini kimetokea
  8. cipher j

    JamiiForums Tanzania Tukizingatia historia na yaliyofichuka kuhusu Ujasusi basi tutawaheshimu majasusi na kuwatukuza

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. cipher j

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Ashraf Marwan "a Superspy" ndiye aliyeikoa Israeli na kipigo kipindi kile cha Six Day War?

    Imetoka move yake inaitwa the spy
  10. cipher j

    JamiiForums Tanzania JWTZ badilikeni, dunia ya sasa hakuna vita ya kuvunja matofali kwa kichwa!

    Ushauri mzuri lakini si raisi hivyo wizara ya ulinzi ina bajeti ndogo mno pili hapa kwetu masuala ya ugaidi na uhalifu si mengi na kama yapo syo ya ukubwa huo hzo iron dome za israel zimewekwa kwa shinikizo maalumu kwa magumu waliyopitia mfano mfumo mzima wa ulinzi na usalama wa USA uliimarika...
  11. cipher j

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Ninachofahamu kwa uhakika kabisaa ni kuwa hicho kifaa kwel kinaweza kudukuliwa lakini sina comment yoyote kwenye kifo cha muheshimiwa
  12. cipher j

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu tujaalie tupate Magufuli Mwingine

    [emoji120][emoji120]
  13. cipher j

    JamiiForums Tanzania Urais unamfaa January Makamba kwa sasa

    January makamba hafai hata kidogo
Back
Top Bottom