Recent content by cindymayricky

  1. C

    JamiiForums Tanzania Lukuvi Awalipua tena UKAWA Bungeni Dodoma

    sio kweli amesema kama mjumbe wa kwanza alivyosema na je umewahi kusikia maneno aliyoyasema kanisani? au ndio exergration ya mambo? tuachane na siasa tujenge taifa letu tanzania
  2. C

    JamiiForums Tanzania EATV Na Joyce Kiria Msitirini huyo binti basi

    mtasema yote but hamuwezi kubadilisha kitu, unapoianza safari utatiwa moyo unapoonyesha mafanikio vikwAzo lazima viibuke, nani asiyewajua watanzania hawanaga zuri tofauti na nchi nyingine watanzania wengi wamejaa chuki, husda, unafiki na roho mbaya, hakuna mtu amelazimisha kuangalia kipindi...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumekwisha! Genge la wauza madawa ya kulevya lajipanga kumweka mtu wao Ikulu...

    remember "No right to speak until u prove it"
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako alitudanganya kuhusu mvua zenye maafa???

    hakusema hivyo nina ushahidi wa hiyo clip kwenye whatsapp
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako alitudanganya kuhusu mvua zenye maafa???

    naomba tusihukumu tusije tukahukumiwa
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako alitudanganya kuhusu mvua zenye maafa???

    mhhh mleta mada hiki ulichokiandika una uhakika nacho? mbona mimi nilisikiliza ule unabii ulitokana na mamlaka yq hali ya hewa kusema kutakuwa na mvua yenye maafa na yeye akajibu akasema "aishivyo Mungu wangu hakutakuwa na mvua sa maafa kama walivyotabiri watu wa hali ya hewa" Watanzania wnzangu...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria: Hivi ni nani anampa mamlaka huyu mdada?

    TAMWA pia inamsupport na kinachofuata kwa sasa mwanaume akimpiga mwanamke ni viboko kumi mbele ya mke na mtoto alafu jela six month hakuna dhamana hapo
  8. C

    JamiiForums Tanzania Joyce Kiria: Hivi ni nani anampa mamlaka huyu mdada?

    huu ni mfumo dume hivi mlikaa mkaielewA ile mada? na anayempa mamlaka Joyce kiria ni Tume ya haki za binadamu, Taa pamoja na polisi jamii ili kusaidia kuzuia unyanyasaji wamwanamke mwanamke amkuwa akionewa years and years eti kwa nini mwanaume anahojiwa kwa nini asiojiwe? mwanaume mwanaume...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu wa wadada leo jumapili!

    kaka ni kaka tu big up sana kaka mkubwa kwa ushauri. I Salute!!!!!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Androidiiii user application ambazo zinatumika kuficha SMS, Call log, na Contact>>>>Enjoy++

    achana na mimi wewe u talk too much, hunakazi ya kufanya? i see u always on thread muda gani unafanya kazi zako? sina muda byebye
  11. C

    JamiiForums Tanzania Androidiiii user application ambazo zinatumika kuficha SMS, Call log, na Contact>>>>Enjoy++

    kama wewe ni gentlemen usingehangaika na mambo yasiyokuhusu wewe unayehelewa umefaidika nini?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Androidiiii user application ambazo zinatumika kuficha SMS, Call log, na Contact>>>>Enjoy++

    kama sio lazima mbona wewe umejibu why dont u keep Quiet
  13. C

    JamiiForums Tanzania Androidiiii user application ambazo zinatumika kuficha SMS, Call log, na Contact>>>>Enjoy++

    hivi aliyeandika topic na anayejibu mbona watu tofauti nimeandika swali kwa aliyetoa topic sifikiri kama ni hekima kujibu usichoulizwa mwenye mada nimekusoma
  14. C

    JamiiForums Tanzania Androidiiii user application ambazo zinatumika kuficha SMS, Call log, na Contact>>>>Enjoy++

    mbona hujaeleza inaitwaje naona maelezo tu mengiii kama siasa ila sioni jina la hiyo application
Back
Top Bottom