Ha ha ha kama kawaida naendelea....Unasoma?
Etieee starehe na shida pande zote, vilevile angeongelea kwa upande wa wanume wanotelekezwa na wanawake as the other side of the coinAsante kwa ujumbe tumesikia na kuelewa
Umesema ukweli
Tatizo power of love
Mapenzi upofu uwiiiii
Niache kugegedana???hapana ntajikinga tu....
ahsante kwa ushauri
Kuacha hiyo inahitaji uwe na mioyo miwili...Eti Bana..........
kinga si zipo?
Etieee starehe na shida pande zote, vilevile angeongelea kwa upande wa wanume wanotelekezwa na wanawake as the other side of the coin
Thanks, Ila Wakaka Nao Wabadilike,Kama huna mpango na binti wa watu iweje uanzishe naye mahusiano?
Ukiwa na uwezo mzuri wa kufikiri huhitaji yeye awe hivyo nali itaweza kumjua kabla mambo hayajaharibika
Fuata ushauri wangu kwani hata mwizi anapotaka kukuibia hawezi kukuambia!
Kuacha hiyo inahitaji uwe na mioyo miwili...