Recent content by cindy mopao

  1. C

    JamiiForums Tanzania Alikotokea Nabii Frank Julius Kilawah wa Shilo Ministries

    Zanzibar-ASP huyu jamaa cjui hata nieleze vipi?!! Ni hivi alialikwa kwenye mkutano wa injili ndani ya kanisa la reedemers assemblies liko kule kimara mwisho michubgwani karibu na shule ya kilimanjaro academy na ye alikuwa mgeni mwenyeji sabb kulikuwa kuna wageni wengine pia kutoka south africa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Alikotokea Nabii Frank Julius Kilawah wa Shilo Ministries

    Aisee alichofany huyu baba pale kimara mwisho wiki hii sina hamu...na ndo nimegundua wanafanya biashara...dini biashara!!
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangua ana dharau sana na kuwabeza watu wa kipato cha hali ya chini/duni!!

    Kaka huyo hatobadilika kamwe..hata ukimwambia sababu kuna wengine wamekulia makuzi yasio ya kimaskini na tabia hizo wameanza tangu utotoni bt kama angekulia kwenye umaskini na akaja kufanikiwa asingekuwa hivo.so ni ngumu yeye kuacha hiyo tabia..na siku ukija kukosa sijui itakuwaje?? Kazi unayo...
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi mabinti wanavyowakamata vijana kwa "voice call sexing, sexing by texting''

    Funny indeed!!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru: Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania

    Hahaahaa!ulidhani watu watasema ni baraka?? Aah wapi! Kuna kila dalili za rafu kwenye huo ushindi na mola hawez kuubariki..acha tu tutunze amani yetu.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa na mume

    Sheria ya unyanyasaji wa kijinsia na ukatili dhidi ya wanawake ipo.bt kama ni mara ya kwanza mvumilie akizidi kukufanyia hivyo una haki ya kwenda kumstaki"!
  7. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anajivuna Anaingiza Sh.700,000 kwa mwezi kutoka kwa mabf wake bila wao kujua

    Humjui eennh??
  8. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anajivuna Anaingiza Sh.700,000 kwa mwezi kutoka kwa mabf wake bila wao kujua

    Alianzisha thread anatafuta mama mchungaji humu angalia comment zake mwishoni baada ya kukosa alichokuwa anatafta lazima uwe na mashaka nae!na huko pm havumi lakini yumo na anavokujia sasa utadhani sio yeye!
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mawakala wawe washika Dini

    Na gwajima?si anaweza kawa wakala wa chadema?hanunuliki?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Malori wamefunga Barabara ya Morogoro, baada ya mwenzao kupigwa risasi na mwajiri wake

    Nimeukumbuka sana wimbo aloimba marehemu banza stone MTU PESA! Kuna sehemu kimobitel anaimba "cheezaa nae mbali sana mtu mwenye pesaa(mwenye pesa si mwenzakooo oohh) Anaweza kutenda zuri au baya lile alitakalo yeye tu,sio yeye ni pesaa(ni pesaa) sio yeye ni pesa (zinazomzuzua eeh)" HIVI MTU KWA...
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anajivuna Anaingiza Sh.700,000 kwa mwezi kutoka kwa mabf wake bila wao kujua

    Uliyosema ni kweli sio mazuri.lakini nawe uache uhuni na kumdhihaki mungu..mtumishi wa kweli anajua mke mwema atapewa na mungu so atadumu kwenye maombi akiamini siku atakutana nae! NASEMA ACHA UHUNI WA KUTONGOZA MABINTI OVYOOVYO HUKU JF!
  12. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sex on sunday

    Una wazimu wewe???
  13. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi na nyie wenzangu wapenzi wenu wakiwa wanaumwa huwa wanadeka kama huyu wangu?

    Msamehee hakujua kama shati alolitapikia umelinunua uingereza!! Watu bwana!
  14. C

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Tumezaliwa tar na mwezi mmojaaa!!!
  15. C

    JamiiForums Tanzania Iam looking for a serious boyfriend!

    Nimekuelewa matola
Back
Top Bottom