cindy mopao
Member
- Sep 5, 2015
- 54
- 24
- Thread starter
- #101
Hujanielewa, sina maana kama wewe age imekwenda nop, ila katika mikusanyiko mbalimbali company za church zina faida kubwa kwanza unakuwa unaingia kwenye urafiki na mcha Mungu ingawa kanisani huwa tunakwenda kuabudu.
Tatizo la mitandaoni watu wengi wanaojiheshimu na wako serious wanakuwa wako commited na watu wao, wengi wanaokutokea humu ni balehe tu zinawasumbuwa ndio maana wadada wengi wanakatishwa tamaa na online friendship.
Lakini hata kitaa si unaweza kuwa na urafiki wa kawaida na mwanaume then baadaye mnachage status? basi hata humu mwendo ni huohuo mdogo mdogo tu pumba na mchele unazitambuwa.
Nimekuelewa matola