Kila kampuni ina masharit yake,,
kama unapata viewer wengi ,,,jaribu pop ads,, pop under ads,,,sina uhakika kama inakubali kwa kiswahili
ila,,
kampuni zenye Pesa nzuri ni adsense na Media net.
ila wanamashariti magumu mmmnoo,
wanataka supported language walizopanga wao ,,,kuna watu wana blog au...