Recent content by Cilliary muscles

  1. C

    Je, kuna somo ambalo hutakuja kulisahau kwa jinsi lilivyokutoa jasho?

    Ahhahahaha sisi ticha alkua mbovu sasa af sina idea ya kuchora kabisa,nlptia tabu sana. Sishauri watoto zetu tuwapeleke Tech sculs aisee utamharbia future kbs
  2. C

    Je, kuna somo ambalo hutakuja kulisahau kwa jinsi lilivyokutoa jasho?

    Mkuu heshima kwko!!!! Kujua mech draughting ni kipaji aiseeee
  3. C

    Je, kuna somo ambalo hutakuja kulisahau kwa jinsi lilivyokutoa jasho?

    Mechanical draughting shikamoo zako!!!!!!!! Hili somo lilitaka liniue... Waliosoma tech wanaelewa
  4. C

    Jinsi ya kuomba kuwa government-sponsored student kwa ngazi ya Diploma

    Akamalza kdato cha4 kna form hua wanapewa kujaza machaguo anoyataka e.g either advnc o technical college.... Achague first option techncal college..... Kna Dit,Must,atc na Wdmi ndo wantoa govt sponsor!!!!! Chamcng apate ufaul mzur angalau CCCC kwny masom ya phz,chem,bios,english na math!!! Apo...
  5. C

    Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

    Anhaaaa kama ni BEE kasome haswa... shika haya manen kasome haswaaa BEE ni ngm pale DIT
  6. C

    Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

    Kama utachaguliw hyo kozi kua makini sana inaugumu wake.... Soma sana acha mambo mengi!!!!
  7. C

    Idadi ya wanafunzi chuo cha DIT kinaweza kubeba

    Kama ufaul wako ni mzr olevel utapata..... Bt kama una uvivu wa kusoma masomo ya maelezo just try ATC o MUST! modules ni nyngi san DIT panahtaj uwe na bdii ni hayo tu
  8. C

    Thomas Muller, Raumdeuter wasamehe hawakujui

    But turud kwnye mada Hujakosea Muller ni among Best wasoimbwa san nlowah kuwaona
  9. C

    Thomas Muller, Raumdeuter wasamehe hawakujui

    Epl baba lao mleta mada.... Watford kasuka daraja ila katoka na point kwa Spurs,Utd na mabngwa Uciifananshe na Bundeslga
  10. C

    Kwa hili, Messi na Mashabiki wako mnatudanganya sana

    Naelew bt klchonshangaza ukasema wnashangae kana kwamba unauhakika 100%
  11. C

    Kwa hili, Messi na Mashabiki wako mnatudanganya sana

    ndo useme haikua shake sem wachzj walshndwa kucommit
  12. C

    Kwa hili, Messi na Mashabiki wako mnatudanganya sana

    Usiwe mbishi siku nyingne wengne soka ndo chakula chetu limelala apa hundanganyi kitu
  13. C

    Kwa hili, Messi na Mashabiki wako mnatudanganya sana

    Shake af una Ronaldo,Ozil,Khedira,Ramos na wengn kbao??
  14. C

    Kwa hili, Messi na Mashabiki wako mnatudanganya sana

    Labda nkukumbushe tu barca baad ya kufanya iyo comeback hatua ilofata alkutana na Juventus akala 3-0 on aggregate sasa huo ubingwa albeba vp akat altoa robo? na 2015 unasomea ndo barca alkua bngwa na almpga huyohuyo juve
  15. C

    Kwa hili, Messi na Mashabiki wako mnatudanganya sana

    Hujui mpira kijana... comeback imepgwa 2017 na sio 2015... kua makin na data zako
Back
Top Bottom