Jinsi ya kuomba kuwa government-sponsored student kwa ngazi ya Diploma

Rastafarian 25

New Member
Dec 25, 2020
4
20
Kama nilivyoelezea hapo wakuu, Kunae ndugu yangu mmoja anahitaji kwenda diploma ila natamani aende kama government sponsored student ili kupunguza gharama.

Kwa yeyote mwenye kufahamu hili na namna ya kuomba tafadhali anijuze hapa.
 
Jun 7, 2020
61
125
Akamalza kdato cha4 kna form hua wanapewa kujaza machaguo anoyataka e.g either advnc o technical college.... Achague first option techncal college..... Kna Dit,Must,atc na Wdmi ndo wantoa govt sponsor!!!!! Chamcng apate ufaul mzur angalau CCCC kwny masom ya phz,chem,bios,english na math!!! Apo post akchaguliw post zktoka anakua govt sponsored student directly
 
Nashukuru mkuu, ila Huyu alimaliza kidato muda mrefu kidg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom