Nabii kibonge
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 277
- 308
- Thread starter
- #41
Sasa c ndio point ile ile tu mkuundo useme haikua shake sem wachzj walshndwa kucommit
Sasa c ndio point ile ile tu mkuundo useme haikua shake sem wachzj walshndwa kucommit
Naelew bt klchonshangaza ukasema wnashangae kana kwamba unauhakika 100%Sawa point yako nini data correction kitu cha kawaida kila mtu anakosea af kukosea info 1 kati ya 1000 haimaanishi hujui mzee.
Ronaldo msimu huu ni utopolo ila hajaacha sana na Immobile af pia simlaumu, juventus wapo hovyo msimu huu hata kwa kucreate chances wanazidiwa hata na atalanta au Leicester nadhan kuna shida kataika kupata collabo nzuri ya middle yao either bentacur na bernadeschi au kina matuidi na ramsey au rabiotNabii kibonge ukimaliza naomba unichambulie stats za CR7 akiwa juventus magoal 31 penalty ngapi na assist ngapi na free kicks ngapi na header ngapi
Izo zipo kwenye kubishana mkuu kawaidaNaelew bt klchonshangaza ukasema wnashangae kana kwamba unauhakika 100%
Anaibeba ndio shida ni kwamba barca sasa inatisha kama kipindi kile????? Mwaka wa 5 huu hamna UEFA na tuseme ukwel level ya barca au madrid tunaipima kwa Uefa maana kuchukua ligi ni kawaida tu toka miaka na miaka sawa na bayern tuNabii Kibonge Messi atabaki kuwa GOAT hiyo Argentina tuu nna uhakika bila Messi zile fainal mbili za Copa America na fainali ya world cup wangeisikia tuu.
Kuna waliosema Gaucho akiondoka Messi ataisha Gaucho akaondoka Messi akaendeleza Dozi,wapo waliosema akiondoka Iniesta na Xavi Messi ataisha ila ndio kwanza takwimu zinawaumbua.Kauli atayoongea mtu takubaliana naye ni kuwa akiondoka Messi Barca itashuka tamuelewa.
Messi ni GOAT sababu ni wachezaji wachache wenye umri wa Messi akupe vyote.Messi anaplay role kama playmaker,goal getter,assist makers paka sasa na umri wake wa 33yrs bado anakupa hivyo vitu.Messi ndio anaeibeba Blaugrana mgongoni na hata mafanikio ya Barca miaka hii ni Messi(45%).Kamuulize babu Fergie atakuambia mtu aliyezimaliza zile fainal ni huyo Messi unayemkataa.
Kumuharibia mtu Cv ni lugha ya kimchezo tu mkuu ni kama kumuaibisha mtu...lengo ni kukuonyesha Messi si mchezaji wa kawaida huyo Boateng alikua ni regular starter wa Bayern pia Germany national team ambayo ni World Cup Winner...siyo beki wa Aston Villa mkuu.Mkuu kuhusu boateng naona hama point apo kwamba kupigwa kijoka cv inashuka? Nafkiri unalifahamu goli maarufu la Jay Jay Agustin Okocha dhidi ya Oliver khan alivochukukiwa niambie ulisikia wapi heshima ya oliver khan imeshuka?????? Sitaki kuongea bao la diego maradona alivyosepa na kijiji toka katikati ya uwanja dhidi ya ujerumani apo vipi tena??????? Bado kina Gaucho so sioni point yako
hatufananishi mkuuBacra usiifananishe na Manyumbu kaka yao utopolo
Bado boateng kuwa starter so ishu tunarud pale pale kwa oliver khan na tusem ukweli tu Messi ni anajua ndio ila level ya kuitwa G.O.A.T bado sana af isitoshe Messi anapaishwa sana utasikia ni Alien mar nini tofauti na his actual ability ni kweli anajuaKumuharibia mtu Cv ni lugha ya kimchezo tu mkuu ni kama kumuaibisha mtu...lengo ni kukuonyesha Messi si mchezaji wa kawaida huyo Boateng alikua ni regular starter wa Bayern pia Germany national team ambayo ni World Cup Winner...siyo beki wa Aston Villa mkuu.
Pia huyo Messi ndo alianza kumfunga Iker Casillas kama alivyotaka through zile chipping zake...kifupi mechi kwa yeye kama yeye amesha prove kila kitu...suala la vikombe vya timu hilo ni suala la timu na Kocha siyo Messi.
Mimi si shabiki wa Messi ila nasema tu ukweli..mimi nishabiki wa Zidane na Gaucho napenda mchezaji anaye enjoy football...
Kuna jamaa alisema barca itashuka kuwa km man u, ndo nikamjibu hivyo, Ila nilijisahau ikaja bila Markinghatufananishi mkuu
ayo maneno tu ila concept ninkwamb barca ibaweza kuyumba kam walivyoyumba man u ila sio kama watakuwa level mojaKuna jamaa alisema barca itashuka kuwa km man u, ndo nikamjibu hivyo, Ila nilijisahau ikaja bila Marking
Nitajie club kubwa duniani ambayo unadhani messi hajaifungaSijakataa kufunga afunge lakini concept yangu ni kwamba messi anaonesha ubora wake akicheza na timu ndogo tu na anashindwa kuoneshe perfomance kwenye mechi kubwa
Wewe unavuta bhangi? Mimi ni liverpool fan lakini shughuli ya messi naifahamu pia ukizungumzia hivyo tutajie mchezaji mmoja tu ambae yeye kila mechi alikuwa anafungaNikukumbushe tu huu ni mwaka wa 5 barcelona na messi wake hawana uefa na shida ni dafeat from teams like Liverpool Roma na Juve Na Atletico madrid kama messi angekuwa na great perfomance dhidi ya timu kama hizi nafkiri tungeshuhudia uefa hata 1 isitoshe 2015 unajua ukwel bila neymar wasingeshinda na bado sionei 2011 na 2009
Hii ni panick, shusha nondo mkuu na sisi tufaidike na ubishi huu.1. Takwimu za messi katika campaigns za La liga 2019/2020
Messi amemaliza akiwa na magoli 25 na assist 21, kiukweli ni perfomance ya hali ya juu lakini ukichunguza kiundani utajua how stats can fool you.
Katika magoli 25 ya messi, magoli 20 amezifunga timu zilizo chini ya nafasi ya 10 (11-20) hii ni 80% ya magoli yake yote
KWAHIYO HIZO TIMU ZA CHINI ULITAKA AFUNGE NANI?