Recent content by cil

  1. cil

    JamiiForums Tanzania Iran yafungua lango la Hormuz kupisha mazungumzo ya Israel na Lebanon

    Hakuna kizuwizi chochote pale mana mnunuwaji mkubwa wamafuta ya iran ni China,China ambayo inanunua mafuta zaidi ya %85 ya mafuta ya iran,unakumbuka juzi Trump ametangaza kwamba Meli za mafuta ya China hazitazuwiliwa inamana biashara kati ya Iran na china inaendelea kama kawaida sasa USA...
  2. cil

    JamiiForums Tanzania Dogo ana Division 1.7; Mambo ya computer aende chuo gani?

    Mwambie akasome instrumentation hatojutia maisha yake.
  3. cil

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha kufanya Utafiti Ili kujua kwanini Watanzania hawapendi kulipa Kodi. MwanaJf unaweza kutoa maoni hapa kusaidia Utafiti

    Kwanza viongozi namba moja kukwepa kulipa kodi, pili wanahamisha Mali za umma kuwa zao na tatu matumizi siyo sahihi ukilinganisha na mahitaji ya Jamie.
  4. cil

    JamiiForums Tanzania Rais Samia avunja Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO, ateua Mwenyekiti mpya

    Kama uwezo na sifa wanazo kwann wasiteuliwe
  5. cil

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

    Mkuu nakukumbusha kurudisha kadi
  6. cil

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

    Kuna watu wako mbele ya muda.
  7. cil

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ulaji wa Mihogo mibichi husababisha uzezeta

    Mtoa maada siyo kweli, kiwango cha cyanide ni kidogo sana ambayo haína madhara yoyote kwa mtumiaji. Kwa mfano baadhi ya mazao mengine ambayo yana cyanide ni mtama, maharage na Moshi wa singara. Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  8. cil

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel akutana na Putin kumaliza mgogoro Ukraine, Marekani yabariki

    Hivi unatokea sayari ya gapi?
  9. cil

    JamiiForums Tanzania Mashtaka dhidi ya Viongozi kama DCs na RCs ni ufunguo wa Mashtaka dhidi ya viongozi wa juu

    Yajayo yanafurahisha
Back
Top Bottom