Recent content by chuvachok

  1. C

    Shamba la Miti linauzwa

    Inavutia. Nitafute 0784222293
  2. C

    CCM yamvua Uanachama Mzee Hassan Nassor Moyo

    Hivi wanaJF hatuwezi kujenga hoja bila mitusi?
  3. C

    Maoni ya Wadau baada ya Hotuba ya Rais Kikwete kwa 'Wazee wa Dar' kuhusu Sakata la Tegeta Escrow

    Ukokotoaji UPI unaozungumziwa? Hukumu ya ICSID 1 ilipunguza kiasi kwa Dola milioni moja na hivyo kushusha tozo ya uwekezaji hadi Dola milioni 2.6. Ikumbukwe uamuzi wa mahakama hivyo hauna rufaa. Hiki kinachozungumzwa kuwa ni uamuzi wa mahakama kuhusu ukokotoaji ni uzushi uliotungwa kuhalalisha...
  4. C

    Sayansi ya hoja na mantiki katika Escrow Account

    Ni makala inayohitaji tafakuri ya kina
  5. C

    Sakata la ESCROW bado bichi: Dk. Slaa anasa mawasiliano ya James Rugemalira na Mkuu

    Hakuna mawasiliano ya siri yanayokuwa CC na BCC. Acheni umbulula ninyi watu. Haya mawasiliano yangekuwa ya siri yasingeuwa copied na wala huyu Slaa asingeyapata kamwe.
  6. C

    Mhariri wa Nipashe ana ajenda na kazi maalum

    Si busara kutumia gazeti la umma kwa ajili ya kufanikisha au kuamua ugomvi kati ya watu wawili. Sio sahihi hata kidogo kwa Mengi kutumia magazeti anayomiliki kwa aili ya kupambana na watu anaogombana nao katika mambo yake ya biashara na kama anataka kuingia kwenye siasa basi na atangaze rasmi.
  7. C

    Mhariri wa Nipashe ana ajenda na kazi maalum

    Ni kweli yupo katika operesheni maalum ambayo Mengi ameipatia jina Operesheni Delete Muhongo. Badala ya kutuhabarisha yanayojiri nchini na duniani kazi imekuwa ni kupambana na Muhongo.
  8. C

    Escrow: Tumuombee J. Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu!, Wema wake usimponze!

    Tusije tukajiaminisha kwamba umasikini ni sifa ya kujivunia. JR amekuwa kwenye biashara kuanzia miaka ya mwisho ni kwa sabini. Amefikia hatua hivyo ya kuweza kudiriki kutoa mchango unaowasumbua baadhi yetu si kwa biasharanya ulànguzi wa kupitisha bidhaa hàramu bandari haramu wala halali. Ni...
  9. C

    Amri ya Mahakama Kuu iliyofanya VIP Engineering kulipwa Fedha zake

    Wengi huwa ni wajinga kwani hawajui ukweli mpaka baada ya muda mrefu sana na pale wanapoujua ukweli huo huwa wamechelewa sana na waliowadanganya huwa wametoka madarakani wamekufa au hata hasira za watu huwa zimepoa. Ndivyo suala hili la akaunti ya Escrow lilivyo wezi na waliotumia madaraka yao...
  10. C

    Kimenuka: Rugemalira kutiwa nguvuni ndani ya siku tatu

    Uzushi mwingine bwana hata kujua taratibu za mahakama huzijui halafu unatungab tamithiliya.
  11. C

    Skata la Escrow: PAC Ilichepuka kwa manufaa ya nani?

    Hivi unajua huyo mwanasheria wa Tanesco alikuwa amekomba hela kiasi gani kwa kuwapotosha Tanesco kwa miaka yote ili aendelee kunufaika? Bilioni 62! Je unajuam kwamba mwanasheria wa Tanesco hataki kabisa kum,alizika kwa mgogoro huu kwa sababu kunamkosesha yeye ulajinwa kudumu? Unajua kwamba...
  12. C

    Skata la Escrow: PAC Ilichepuka kwa manufaa ya nani?

    Tumeambiwa na akina Kibonde kwamba Michepuko ni Nomaa tukadhani utani. Sasa ona michepuko inavyoumbua watu wazima hata ndani ya Bunge. Michepuko nomaaa Bakia Njia kuu!
  13. C

    Vip engineering yashinda kesi

    Ni kweli kabisa. Kwani kama kweli ripoti ya CAG ilikuwa ndiyo inayotakiwa kutumika ili kutoa mapendekezo kwa Bunge ili nalo liweze kutoa mapendekezo sahihi kwa Serikali sasa iweje kamati ya Bunge iachane na ripoti ya CAG na badala yake kutoa mapendekezo yake kutoka katika vichwa na hisia za watu...
  14. C

    Skata la Escrow: PAC Ilichepuka kwa manufaa ya nani?

    Ushabiki ni hatari sana. Ni vizuri watu wakatumia akili zao vizuri badala ya kushabikia tu bila ya kujitosheleza kwa takwimu.
  15. C

    Skata la Escrow: PAC Ilichepuka kwa manufaa ya nani?

    Kujenga hoja ni kazi ngumu sana. Ninachoona Mimi ni kejeli tupu badala ya mjadala wa kina na mashiko. Kukimbilia hukumu bila ya kuainisha mlolongo mzima wenye uthibitisho wa jinai ni kukurupuka. Prof AT kaombea taasisi yake fedha kazipata na kuwakabidhi. Waliokabidhiwa wakiongozwa na Balozi Paul...
Back
Top Bottom