Recent content by chuuma

  1. C

    JamiiForums Tanzania Feitoto aituliza nchi

    Hahahaha
  2. C

    JamiiForums Tanzania Feitoto aituliza nchi

    Feisal ni kijana mashuhuri kutoka Zanzibar , ni kijana mwenye uwezo mkubwa na mara zote huwa na juhudi na kuyafikia malengo aliyojiwekea. Leo katika mchezo wa Azam vs Yanga kijana huyu alimaarufu kwa jina la "Feitoto" aibuka shujaa dimbani, baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi na...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA imechukua miaka zaidi ya 30 kujenga ofisi ya makao makuu, SGR au bwawa la Mwalimu Nyerere ingewachukua miaka 300 au 500

    Kwani ukiwa upande huo ni lazima ujitoe ufahamu ndio maisha yasonge? Kuna wakati muwe mnajaribu kutumia ubongo katika kufikiri badala ya kutumia mautumbo ,kongosho na uti wa mgongo. Pole kwa kupungukiwa na uwezo wa kufikiri
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nabii Clear Malisa ni nani?

    Kwani huyu nabii Clear Malisa na Huyu Nabii Malisawa Ukombozi Ministry wanaungugu? Au ni mtu mmoja
  5. C

    JamiiForums Tanzania TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

    Suspects , ni wale Waliopokonywa wapenzi wao , kazini kwake au wanawake aliotoka nao hajawalipa pesa zao n.k
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuikalia na ‘mbuzi kagoma’ ni ukatili kwa wanawake

    Ushaingizwa mara ngaoi vidole na dudu?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Hii ni picha ya Karne, makamanda hawachoki

  8. C

    JamiiForums Tanzania Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

    Ww unamchukulia Mbowe kama ZZK
  9. C

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Dah
  10. C

    JamiiForums Tanzania Gharama za matibabu katika hospitali zetu: Napendekeza tuangalie kwa macho yote

    Naungana na maoni yako kwa asilimia mia ila napingana na ww kubariki TOZO hii TOZO ni wizi kabisa inatuumiza wengi na tunaisoma namba kweliekweli
  11. C

    JamiiForums Tanzania Padri Mahakamani kwa tuhuma ya kumbaka mwanafunzi

    Msihukumu tu nani anayejua ukweli? Je kama kasingiziwa kwa sababu mbalimbali
  12. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mchague Boniface Jacob ubunge Jimbo la Ubungo

    Kijana anayejali watu
  13. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Boniface Jacob anatarajia kuendeleza kampeni zake za Ubunge viwanja vya Ubungo Modern

    Leo Tarehe 09/10/2020 Mheshimiwa Boniface Jacob* anatarajia kuendeleza Kampeni zake za Ubunge Jimbo la Ubungo katika Kata ya Ubungo. Muda ni Kuanzia Saa 8:00 Mchana, Mtaa wa* *Ubungo Kisiwani/Ubungo Maziwa - viwanja vya Ubungo Modern Kutakuwa na Mkutano wa hadhara* Ubungo itajengwa na Wana...
  14. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Twende na Boniface Jacob katika kampeni zake za Ubunge Jimbo la Ubungo

    Leo Tarehe 07/10/2020 Mheshimiwa Boniface Jacob anatarajia kuendeleza Kampeni zake za Ubunge Jimbo la Ubungo katika Kata ya Makuburi. Muda ni Kuanzia Saa 8:00 Mchana, Mtaa wa Kibangu viwanja vya Riverside Stand Kutakuwa na Mkutano wa hadhara. _Ni_ BONIFACE JACOB Wao wanaposema nitawafanyia...
Back
Top Bottom