Recent content by Chungu Kibovu

  1. C

    Mjue Mangi Mandara wa Moshi

    Sio Mandari, ni Mandara kama mleta uzi alivyoandika. Anapewa heshima huku Marangu mpaka leo. Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro (KINAPA) imekipa jina la MANDARA kituo cha kwanza kulala watalii wanaopitia njia ya Marangu. Kituo hicho kinaitwa Mandara hut.
  2. C

    Nimetishwa, kushitushwa na kuogopeshwa na kauli hii ya Rais Magufuli. Alimaanisha nini?

    Sure, why creating artificial demand? Acha awafundishe. Waache uhuni wao wa kuficha sukari. Bravo Dkt. Magufuli! Tuna imani na wewe na umeshaonesha unaweza sana. We love you and always pray for you.
  3. C

    Walimu wagoma, kisa mwenzao kuzabwa kofi darasani

    Mmmh, Tanzania ya aina hiyo HAPANA.
  4. C

    Tufanye biashara hii, yenye hela

    Hata kuandika neno consultancy huwezi, kazi yenyewe utaweza wapi?
  5. C

    Tumpime Magufuli kwa sifa hizi na nafasi aliyoomba

    Good analysis and arguments. Huyo jamaa hana hoja ya maana zaidi ya kutupotezea muda wetu kwa makala ndefu isiyo na mantiki.
  6. C

    Mafanikio ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) chini ya Juliet R. Kairuki

    Smart Mwananchi, nimekupenda kabisa. Umeandika masuala ya msingi sana mwanzo mwisho. Maswali yako ni ya msingi sana kwa Pascal. Tunategemea ayajibu hapa jamvini.
  7. C

    Waziri Maghembe awasimamisha kazi Vigogo Kilimanjaro National Park

    Manyerere hizi habari ni za uongo 100%. Hakuna mfanyakazi wa Kilimanjaro National Park aliyesimamishwa kwenye kikao cha leo 11/2/2016. Kwenye kikao kizima hata neno "kusimamishwa" halijatamkwa na Waziri Maghembe. Watu wanachangia jambo lisilokuwepo kabisa! Chanzo, eti mfanyakazi wa KINAPA...
  8. C

    UKAWA na watanzania: Mmeshajiuliza kwanini Lowassa alikatwa CCM?

    Ni upuuzi kuleta mada ya kipuuzi kwenye forum hii.
  9. C

    Lowassa kawaahidi nini watu wa Monduli?

    Katika Ubora Wetu....ulipo tupo.
  10. C

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Mabadiliko ni kila kitu Oct. 25. Kura yangu ni kwa Lowassa tu.
  11. C

    YALIYOJILI: Mkutano wa mgombea urais wa CCM, Dr. John Pombe Magufuli wilayani Ngara

    Ni vema kujiuliza na kuulewa huo unaoitwa 'utafiti' wa twaweza; ulifanyika lini, sampuli ilikuwa 'realistic' kiutafiti? kuliko kushabikia au kubeza 'utafit' hu.
  12. C

    CCM itaondolewa lakini...

    BRN=Better Resign Now...Mngekuwa na uhakika wa kubakia madarakani, msingekuwa na hiyo mikakati yenu ya Ngurdoto, Zenj, Mtwara n.k.Subirini 25 Oct muone Peoples' Power inavyodhihirisha ubora wake
  13. C

    Kwanini ni uamuzi wa busara kumpigia kura ya Urais Lowassa kwa sababu moja tu ya msingi

    Mendz, una akili nzuri sana. Tuko imara na ahadi yetu ni kura kwa EL
  14. C

    Mbowe: Uteuzi wa wagombea majimboni ulizingatia vigezo vyote

    Ukweli ndio huo, Hongera sana Freeman Mbowe (almaarufu 'kaka' huku jimboni kwake Hai).
  15. C

    CCM Wazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Udini wa Lowassa na CHADEMA

    Mwaka huu watatoa jasho mpaka kwenye meno.
Back
Top Bottom