Nahitaji msaada, ni siku nyingi zilikuwa zimepita bila kufanya mapenzi na mwanamke yoyote ila hivi karibuni nilikutana na binti ambaye nilianza mahusiano naye.
Ni muda hajawa na mtu hivyo tulitumia kinga then baadae tuliacha kutumia kinga na kufanya tendo bila kinga kama watu tunaoaminiana...
Udsm ni chuo kinachoongoza kuwa na maprofesa wengi na weledi tanzania hivyo hata elimu inayopatikana hapo ni bora ukilinganisha na vyuo vingine. Tatizo la udsm ni miundo mbinu tu lakini kwa elimu bora hapana chezea tanzania hata afrika
Hata ungetaka asome hapo hana uwezo wa akili ya kupata nafasi ya kusoma chuo kikuu cha daresalaam kwa hiyo endelea hivyohivyo itakusaidia kisaikolojia. Jipange sana
Wananchi tunaunga mkono msimamo wenu Ukawa matunda yenu yanaonekana na Mungu awalinde mpaka mtakapoingia ikulu na kuingiza zaidi ya 50% ya wabunge bungeni.
Kwani ccm mnadhani wananchi ni machizi kudai serekali 3 angalia sasa kessy kashafungiwa kwenda zanzibar akienda tu lazima tindikali ipendane nae. Ccm mjiandae wakati umefika hata ma vx hayatawasaidia kutoroka mikononi kwa wananchi. Ccm mjifunze mbio za miguu na kuogelea zaidi ya siku 10 bila...
Potezea wewe labda mshahara mdogo mpaka afuatilie demu wake mjini ni gharama sana na wanafunzi wanawezakosa vipindi ndo maana anapata huduma ya chapchap mambo mengine yasilale. Big result now
Not posible for education certificates to act as a security so as to get loan from the bank. What if the loan not refunded by the borrower, will it reduce the level and knowledge possessed by the customer?
Yangu macho waliofeli wanapata shida kutaja uhakika na wanaishia kutaja viporo hapa si sehemu ya ushindani. Write truth kama ungekua umefaulu vizuri top five lazima itakua kama ifuatavyo.
UDSM
MZUMBE
MUHAS
SUA
UDOM
Kuokoka au wokovu ni kile Yesu anafanya ndani yako mara tu ukishampokea. Wokovu ni badiliko linalotokea katika maisha ya mtu kutoka kwenye ujinga, uharibifu, na kupata akili njema. Kabla mtu hajjaokoka huwa chini ya utawala wa ufalme wa shetani lakini akishaokoka huwa chini ya utawala wa ufalme...
Walimu wa masomo ya sayansi wenye div 1 watasomeshwa bure kwa wale wa masomo ya sayansi wenye div 2 watapewa mikopo ya kusoma watarudisha baadae ila wa sayansi wenye div 3 watajilipia wenyewe. Div 4 matatani hawaeleweki vizuri tz ya leo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.