Fursa kwa wasomi: Vyeti kuwa dhamana ya Mikopo CRDB....!

karatu78

JF-Expert Member
Feb 22, 2014
212
195
Dhamana ya ajira.waziri wa kazi G.Kabaka na crdb benk wawataka wasomi kuweka vyeti dhamana kupata mkopo.sos.mwananchi
 

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,157
2,000
DHAMANA YA AJIRA: Waziri wa Kazi na Ajira, G. Kabaka kwa kushirikiana na benki ya CRDB, awataka wasomi kuweka vyeti vyao dhamana ili kupata mkopo wa ajira CRDB.
 

ndenga

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,761
2,000
Kupata Mkopo wa Ajira CRDB unamaanisha nini??, hapa haijaeleweka.. au unamaanisha kupata mkopo kwa ajili ya kujiajiri. Maana nyie mnaosomia shule za Academia naona hata kiswahili chetu kinaanza kuwapiga chenga sasa
 

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
51,116
2,000
Huo mkopo upojej? Ukishindwa kulipa wanaviuxa vyeti au?
More explanation please!
 

aloycious

JF-Expert Member
Dec 17, 2012
5,825
2,000
Hao jamaa wanaojiita mawaziri ni wapuuzi tuu! Maneno meengi,,usanii mtupu. Mpaka vijana waamke ndipo wataachwa kunyanyaswa.
 

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,511
2,000
Vyeti gani mbona hujafafanua? Vya dini kama UKWATA na TYSS, Primary, vya degree?
 

karatu78

JF-Expert Member
Feb 22, 2014
212
195
kwa uhakika zaidi soma mwananchi.vyeti vya shule.hi suala kingwagala alishapeleka hoja binafsi bungen akaharibu mwnywe.
 

NasDaz

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,274
2,000
Mwaka 2011 au 2012 niliandika makala humu jamvini na kuzishauri commercial banks ziache kujikita kwenye traditional collateral peke yake na waangalie possibility ya kutumia University Certificates kama collateral! Aidha, nilizitahadharisha commercial banks wasipobadilika soko lao litaathiriwa sana na mobile money(like M-Pesa)! Watu walikejeli hoja yangu hiyo lakin nadhan CRDB wameona potential yake!
 

Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
6,386
2,000
Mwaka 2011 au 2012 niliandika makala humu jamvini na kuzishauri commercial banks ziache kujikita kwenye traditional collateral peke yake na waangalie possibility ya kutumia University Certificates kama collateral! Aidha, nilizitahadharisha commercial banks wasipobadilika soko lao litaathiriwa sana na mobile money(like M-Pesa)! Watu walikejeli hoja yangu hiyo lakin nadhan CRDB wameona potential yake!

Inawezekana Mkuu waziri alipiga desa humu akaondoka na mawazo yako! Si unajua Jf ni zaidi ya habari!
 

Mto

Senior Member
Sep 6, 2011
170
170
Huu mfumo wa ukopaji kwa kuwedhamana cheti cha elimu unafanyaje kazi? Itakuwaje aliyekopa kwa dhamana ya cheti cha elimu akitoweka bila kulipa huo mkopo? Will the bank sell the certificate to get the money back? Are academic certificates transferable?
 

chung cho

Senior Member
Mar 16, 2014
191
0
Not posible for education certificates to act as a security so as to get loan from the bank. What if the loan not refunded by the borrower, will it reduce the level and knowledge possessed by the customer?
 

qn of sheba

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,230
1,250
Hivi sheria inaruhusu cheti kiwe converted to money???? Hv akishindwa kulipa cheti kitafanywaje
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom