Recent content by Chumvi YMawe

  1. Chumvi YMawe

    JamiiForums Tanzania Sina imani na safari ya mume wangu, naomba ushauri

    Mbona huna shukrani, wasinge msomesha huenda msinge onana! Acha aende akalipe fadhira na apate baraka zao! Kaa kwa kutulia!
  2. Chumvi YMawe

    JamiiForums Tanzania Body Count yako inasoma ngapi mpaka sasa?

    Mmeshafunga likizo kumbee
  3. Chumvi YMawe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watu wenye sifa nzuri kama uzuri na uhandsome au utajiri husemwa kwa mabaya? Je, ni wivu kwa waliokosa sifa hizo?

    Mahandsome gani tena wanapata hiyo tabu? Mbona mimi naishi poa tuu!
  4. Chumvi YMawe

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Professional: Mental Health Counseling Psychologist | Mental Health Consultant | Stress Management, Treatment and Follow up Counselor | Educational Expert | Mental Health Content Media Advocacy Personnel (Radio & TV) Location: Dar es salaam Education: Bachelor's degree of Psychology (UDSM)...
  5. Chumvi YMawe

    JamiiForums Tanzania Nina mtoto ila nataka kuingia kwenye mahusiano yatayopelekea ndoa. Naeleza vipi kwa mwenza wangu huyu?

    Huo ni uanaume gani sasa hadi kushindwa jambo dogo kama hilo? P.....umbavu zake!
  6. Chumvi YMawe

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume /wanaume

    Unaanzaje kuwa mwanamke mfupi?
  7. Chumvi YMawe

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

    Nawasiwasi na huyo mtoto huenda sio wa kwako, anakataa ili usije kumbemenda!
  8. Chumvi YMawe

    JamiiForums Tanzania Kuona Picha za X Utotoni Ziliniharibu Kisaikolojia | Ungama Drama za Maishani Kwako

    Ahaaa kumbe mdogo wangu wewe ndo uliuiba ule mkanda wangu wa movie, nilimuuliza Frank akasema hajui, kumbe ni wewe?
  9. Chumvi YMawe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwaka umepita toka mzazi mwenzangu achukuliwe na mama yake kwa nguvu, nimechoka nataka kuanza safari mpya

    Pole mkuu, ni kwa sababu huna hela labda! Tafuta hela ukizipata hutamuwaza hata huyo mwanamke utawaza mtoto wako!
  10. Chumvi YMawe

    JamiiForums Tanzania Muhimu kabla ya vyote ijue size ya mpenzi wako

    Sijasoma
  11. Chumvi YMawe

    JamiiForums Tanzania Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

    Ushatandikwa huko, eti wajita....! Acha generalization mkuu! Kwanza mengi umewasingizia hawako hivo labda sifa yao kubwa ni WIVU!
  12. Chumvi YMawe

    JamiiForums Tanzania Mliopo kwenye ndoa mna kazi sana

    Wanasoma hadi maandiko namna ya kutuuwa!
  13. Chumvi YMawe

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaochapiwa wake zao na Kuua

    Ngoja waje wakupinge!
  14. Chumvi YMawe

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanaume, hakikisha unafanya yafuatayo baada ya kuoa

    Unaoa ili iweje, si bora ufanye tukio upelekwe jela tuu!
Back
Top Bottom